Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Hujaelewa mshoboko[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila chakushangaza ukivaa wigi utasifiwa sana umependeza.....Tanzania.
Kama hakuna maslahi mengine ya msingi yatakayowekwa rehani akikwambia, wanaume wengi watapenda kuwa waaminifu kwa kukwambia ukweli kwamba hayo makatani hatuyapendi!
 
Ukiona unalo na hausemwi, au ulisemwa mara moja tu halafu kimya, sio kwamba linapendwa. Ni unavumiliwa tu kwa maslahi mapana ya mahusiano. Ila kimsingi hayo Mawigi yanakera, hasa yale ya rangi rangi. Yani unakuta mdada amevaa nyweli ina mchanganyiko wa bluu na njano! Yana harufu, yanawasha , bla bla bla.
Binafsi, napenda sana kushika nywele halisi. Akija amezichana, ameziremba, amezifunika siku hiyo ntazivuruga tu.
Haya maswala ya kutundika nywele kwenye msumali usiku na kuziokota asubuh hamna asee. Toshekeni na mionekano yenu.
 
Nawaonaga kama hawajielewi vile, siwapendi hata kidogo.

T[emoji769]
 
Hapo kwenye kuacha mapaja wazi sio pabaya. Mie napapenda
 
Karibia vidume vyote hapa vimeponda wavaa mawigi, ninachojiuliza ni nani anadate nao huku mtaani? πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Acheni unafiki nyie viumbe
Mpaka mimi mnafiki???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…