Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Hahaha.

Mzee baba.... wewe unataka wanawake wawe unavyotaka?

Mwanamke akijiremba anavutia...kama hautaki wanaojiremba si ichukue asiyejiremba?
Ni mbwebwe tu huwa hamjielewi Wanaume aina zenu, mfano wale house girs ni wangapi hawana muda wa kuvaa hayo mawigi, huwa hamuwatongozi hadi kusaliti ndoa na wengine kuwa wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna zinaowapendezesha wengine haziwapendezeshi.

Wala hawaaamulii endeleeni kujiremba kikubwa usijirembe hadi ukajilemaza tu.
 
😂😂😂
Avatar yako kiukweli inaniacha hoi nikiweka masihara pembeni. Ni matata sana.

Kama avatar yako inakuakisi wewe, mashaallah! Mungu akulinde. Ili unusurike labda ujenge urafiki na mimi.🙂🙂🙂🙂
 
Mwambie shemeji yangu ajiamini maana Bibi na Mama zake hawakuhangaika na huo upumbavu wa vitu feki lkn walitongozwa na kuolewa na kudumu hata ktk ndoa.
Ni nani asiyejiremba hapa duniani? Wewe mwenyewe unachonga nywele na kuvaa mavazi unayodhani yanakuvutia ili tu upendeze.

Wenzio wakienda mbali kwa kuvaa wig unaona nongwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mbwebwe tu huwa hamjielewi Wanaume aina zenu, mfano wale house girs ni wangapi hawana muda wa kuvaa hayo mawigi, huwa hamuwatongozi hadi kusaliti ndoa na wengine kuwa wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hata hatuelewani.

Mahouse girl wanatokea wapi hapa mzee?

Pointi yangu ni rahisi tu wanawake waacheni wajirembe maana ndiyo asili yao.

Wewe unashindwa kuelewa unachotaka. Kiuhalisia hakuna binadamu asiyejiremba hapa duniani tunatofautiana viwango tu.

Sasa wewe kama hupendi mwanamke anayejiremba kwa namna unayotaka si uchukue wa namna nyingine shekh?
 
We Mama usizidishe huo ukweli ukasababisha Ke wenzio wakaanza kukuchukia na Wanaume wakajazana pm kukusumbua[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaahaa...hii naisikia leo...ila mbona wanakiwa smart sana jaman
Vaa wigi halafu jipige picha then vua halafu jipige picha ukiwa na nywele zako zilizosukwa vizuri halafu linganisha hizo picha mbili uone, ile ya wigi utakua unaonekana mzee kuliko hii ambayo hujavaa wigi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


😂😂😂😂achana naye ..umeeleweka..ni km sis tusivyopenda milegezo yenu so akitokwa mwenye mlegzo unamkataa tu..easy like abc
 
Sikushauri kabisa Dada yangu na hata km ni mwenye mali ndiye anayekudanganya basi jikite ktk msimamo wako maana husababisha kansa za macho.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
yes..makeup ukizid daily inazeesha ngozi..kwa wigs sijajua kwakwel...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…