Unajisikiaje kuwa na mwanamke mwenye 'Wigi'

Tusamehe bure kwa kukuharibia hisia zako kwa shemeji yetu na biashara zako za kuuzia mabinti wasiojitambua vitu feki[emoji87][emoji86][emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tukimchukua hadija wako wa shamba na mtoto mzuri aliyejiremba wa mjini Dasalama kwa piere unadhani utamchagua nani ? Halafu unatuambia waache kujiremba?


Mwisho mtawaambia waache kujiliza vitandani nyie maana hamchelewi.
 
Wewe tukimchukua hadija wako wa shamba na mtoto mzuri aliyejiremba wa mjini Dasalama kwa piere unadhani utamchagua nani ? Halafu unatuambia waache kujiremba?


Mwisho mtawaambia waache kujiliza vitandani nyie maana hamchelewi.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎶🎶🎶🎶🔥🔥✌✌
 
We Mama usizidishe huo ukweli ukasababisha Ke wenzio wakaanza kukuchukia na Wanaume wakajazana pm kukusumbua[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana too much is harful, watu wajirembe ila kwa kiasi sio mpaka wanakua kama majini jamani...hata mimi najiaremba, napaka poda, mafuta na navaa vizuri lakini siwezi kupaka makeup mpaka nikawa kama majivu au mdoli, nasuka nywele ila sipendelei kuvaa wigi au kushonea weaving, ila rasta nasuka na aina zingine za nywele

Kila mtu ana preference zake ila hapa nadhani mtoa mada anazungumzia wale wanawake wanaopenda kuwa fake kwa akila kitu kuanzia kope, kucha, nywele nk, i mean mtu anajiremba mpaka antia kinyaa

Hao ndio tunaowazungumzia hapa, na ndio maana nikasema hizo makeup nazo zina athari mtu anapaka kila siku haachi uso ukapumua mwisho wa siku ngozi inalemaa au inaonekana imezeeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaelewana sana tu sema tatizo lako unakariri Mtu hawezi kujiremba pasipo kuhusisha vitu feki mwilini mwake[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekupenda bure we Mama kwa jinsi unavyosimamia ukweli mchungu, hongera sana Mama[emoji4]
Vaa wigi halafu jipige picha then vua halafu jipige picha ukiwa na nywele zako zilizosukwa vizuri halafu linganisha hizo picha mbili uone, ile ya wigi utakua unaonekana mzee kuliko hii ambayo hujavaa wigi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mpole...acheni watu wapendeze.
Brother! Kupendeza ni kuvutia kwa uzuri, na ni hali nzuri na inampendeza hata mtazamaji.

Akina mama/dada zetu ni kweli wanastahiki kupendeza, lakini ni kwa namna gani? Hili ndilo swali lililojenga hoja.

Wapendeze kwa uhalisiya wao na wala si kwa nakshi za kuazima na ndiyo maana strongestbeliefsecret akaainisha mfano wa urembo wa kuazima. Mathalani: Kucha, kope, wigi.

Sasa hiyo ni nini brother! Huko ni kupendeza kwa kuazima! Kwa kifupi wanafoji kupendeza. Wajikubali tu kwa muonekano wao na wapendeze kwa uhalisiya wao. Ndicho kinachozungumziwa.
 
Nadhani tunatakiwa tuwape uwanja wa wanawake kupendeza watakavyo...wewe wakishapendeza jichagulie unayevutiwa naye.

Uzuri wanawake karibu wote hawatongozi. Mimi kuna mawigi na weaving zinazonivutia saana na baadhi ya kucha. Kope hazinivutii.

kuna wanaume wengine wanavutiwa na kope tuwaachie. Tuwaambie tu tena kistaarabu vile vyenye athari za moja kwamoja kama kudunga sindano za tako na kujibabua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…