Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kukumbatia ubao wa mninga mimi siweziHutaki kulala kwenye tiles 😄😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukumbatia ubao wa mninga mimi siweziHutaki kulala kwenye tiles 😄😄
Karidhka uyoo me wangu alipo pata mimba ali nenepa sanaa afu me sio mpenzi wa woman wanene au wenye matako makubwa saaana ..
nka subiri ajifungue naona still mtu karidhika na ana jua vitu napenda .kilicho fata ni kupiga matukio kama mawili hadi saiv karudi kama mwanzo ki portable
kilicho fata ni kupiga matukio kama mawili hadi saiv karudi kama mwanzo ki portable.
Sasa Serengeti boy si yupo kwenye ajira,lazima ajitutumue... mkute na mumeo kwa bi mdogo,uone kama anapiga kwa mazoea... ni showshow...wanaume mdomoni wako vizuri kuongea ila wapeleke field ndio utagundua kwa nin serengeti boys muhimu
Wewe ni jangu kwa kisukuma tunasema nyai. Mkeo humtunzi ndo maana anazeeka mtunze mkeo uone Kama hajarudi kua binti. Mm nmemkuta mama watoto akiwa 35 Mimi 32 lakini saivi anaonekana mdogo kuliko Mimi. Sababu Mimi namhangaikia yeye namvisha nguo nzuri za thamani mm naenda okota za buku buku ilala boma. Sasa wewe mkeo unamnunulia malonya wewe unaenda kwa mkinga kununua nguo zilizochanika kwa magoti. Home unaiacha buku wewe unaenda kula nyama choma viepe kitaa na kiboda boda chako leo useme mkeo anazeeka. Wewe ndo unamzeesha
Mm nmemkuta mama watoto akiwa 35 Mimi 32 lakini saivi anaonekana mdogo kuliko Mimi
Sasa wewe mkeo unamnunulia malonya wewe unaenda kwa mkinga kununua nguo zilizochanika kwa magoti.
Unaenda kula nyama choma viepe kitaa na kiboda boda chako leo useme mkeo anazeeka. Wewe ndo unamzeesha
Si ulisema kwenye shida na raha, haya vumilianeni ndiyo chaguo lako, lkn pia muelekeze au mfanyie shopping ya nguo unazopendelea avae
Hili neno inabidi lisitumike tena, Maana limekua halina faida hata kidogo kwenye ulinzi wa ndoa 😀Si ulisema kwenye shida na raha,
Kupendeza ni hulka ya mtu, aanze yeye kutaka hayo, afurahie kuvaa hivo hapo ndo utaenjoy.Tunzeni wake zenu wapendeze,ushamlaza kifua kimekuwa kama ndala za gesti halafu unasema kazeeka .
Mwanamke akishazaa basi mwili unafumuka kwa kasi na kadri anavyoendelea ,kama ni mnene angalia avae zile nguo ndefu jamii ya abaya na sio za mtumba ,tafuta angalau za bei mbaya zinapendeza kwa wanawake angalau 150k .
Manukato safi hata afike 50 utamuona kawaida ila kama humtunzi na hali za umaskini lazima awe kikongwe.
Hilo ndiyo neno kuu muhimu, haiwezekani umzeeshe mdada wa watu akuzalie watoto 6 afu umuache au umuone kazeeka nope, tuendelee kupambana na machaguo yetu 😀Hili neno inabidi lisitumike tena, Maana limekua halina faida hata kidogo kwenye ulinzi wa ndoa 😀
Mwanamke anazeeka haraka ikiwa hatakosa kuwa na mtindo mzuri Wa maisha na hii sio wanawake tu binadamu yeyote.
Mazoezi
Virutibisho
Stress free
Kama upo dsm zingatia hayo mambo.
Kama upo dsm zingatia hayo mambo.
Hapo kwenye mazoezi na virutubisho upo sahihi, Tatizo sisi Waafrika nimeona kipaumbele chetu ni unene, pamoja na Nyash(wanawake) . 😄Mazoezi
Virutibisho