Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yupo kama shishi?
Upo sahihi mkuu, hata hivyo binadam tumetofautiana kimtazamo, mwingine anataka mwanamke mwembamba au mwanamke mfupi, Sasa inapotokea umechukua kitu alafu baadae mambo yakaja kuchange, timbwili ndo huazia hapo.Sijui kwann mimi sinaga hii mitizamo. Miminyf akonde labda ndio nitashtuka. Akininenepa au kufumuka hata sioni tabu. Acha tu aishi anavyotaka maisha haya sio kilankitu cha kukijali muda woote uko makini kama nurse wa zam shift ya usiku..Mwache ajiachie..avae anavyotka ale anavyotaka afanye anavyotaka.. kuna muda maisha hayakupi hii option.
Inawezekana. Na to declare the interest, mimi napenda "minyama, yan unabonya bonya kama embe au parachichi".😋😋😋Upo sahihi mkuu, hata hivyo binadam tumetofautiana kimtazamo, mwingine anataka mwanamke mwembamba au mwanamke mfupi, Sasa inapotokea umechukua kitu alafu baadae mambo yakaja kuchange, timbwili ndo huazia hapo.
Ni matunzo tu..Wakati nchi zilizoendelea Wanawake wembamba ndio wanakimbiza soko la udangaji na kuolewa.huku bongo Mitukunyema yenye miswambwanda ETI ndo wanakimbiza Soko kiasi kwamba wanawake hawapati usingizi wanawaza kuongeza shape..!
Wengi hawajijali ni kusaka pesa na vicoba mwanzo mwisho..Gym inaonekana umalaya huku kwetu..Akishajifungua ndo kabisaa anajiona kashazeeka anaanza kujifunika na mavitenge na nguo za kushona..Hawazingatii Diet wala nini..Anaamka na mihogo analala na Ugali.mara chips kwa wingi hii yote ni mfumo wa maisha tuliyochagua
Kazi kwelikweli/ Job true true
.huku bongo Mitukunyema yenye miswambwanda ETI ndo wanakimbiza Soko kiasi kwamba wanawake hawapati usingizi wanawaza kuongeza shape..
kwetu..Akishajifungua ndo kabisaa anajiona kashazeeka anaanza kujifunika na mavitenge na nguo za kushona.
Hapo ulipigwa changa la machoHabari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale [emoji1666],
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.
• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.
• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.
• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.
• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mlio oa, mnahisi hivi pia kama ninavyo hisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.
........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." [emoji41].
Eti 150k duHebu twende taratibu umesema nguo ya laki 150???
Mkuu vp bangi umeacha kuuzaUngechelewa kidogo tu ningeandika kataaa ndoa [emoji1][emoji1][emoji1]
Sema labda ni mnene afu mfupi dadeq akifikisha 40 atakua bi mkoloni
Hatak kuoga hadi umuogesheHapo anaweza ku change, sema wanawake wengine huijota akili kabisa, wakisha ona tayari wamezaa, usafi kwao mwiko.
Kwa hiyo wewe ni mjinga maana hujaoa hadi sasa hivi na umri umeendaMababu zetu hawakua wajinga kuoa wawili plus
Kwa hiyo wewe umeoa wanawake wawili?Vijana wa siku hizi, tuanaogopa majukumu.
Acha hasira na bangi ww! 😂Mkuu vp bangi umeacha kuuza