Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Joto la Dar hili linaweza kuua mtu, leo tangu asubuhi umeme ulikata dah ndani hakukaliki kabisa, kama tupo kwenye ki oven vileπŸ˜€
 
Safi sana mkuu, pia hii ya kuoana miaka ikiwa sawa naona kuna changamoto yake.... Mwanamke akisha zaa tu.. Mwanamke anaaza Kuonekana Mkubwa
Umesema sahihi Mkuu, Wanaume huwa tunakawia kuzeeka, ndiyo maana kuna cases za wazee wa miaka 75 kuendelea kuzaa na dogodogo πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Hilo ndiyo neno kuu muhimu, haiwezekani umzeeshe mdada wa watu akuzalie watoto 6 afu umuache au umuone kazeeka nope, tuendelee kupambana na machaguo yetu πŸ˜€
πŸ˜„πŸ˜„, balaa sana, hii Hatua ndo huaza kuitana majina ya ajabu, " utasikia we Rashid, Rashidiiii" Mboga zipo jikoni sisi tumesha kula tayari"
 
Umesema sahihi Mkuu, Wanaume huwa tunakawia kuzeeka, ndiyo maana kuna cases za wazee wa miaka 75 kuendelea kuzaa na dogodogo πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Yeah, inachangia hiyo, mwanamume ana 75,, mwanamke ana 77 tayari hapo maelewano inakuwa hamna hasa kwenye minyanduano.
 
Mshukuru Mungu kwa Mke uliyenaye!

Hao. Unaowaona wanaenda na Wakati, wanaenda na wakati kwenye kila kitu.
 
Yeah, inachangia hiyo, mwanamume ana 75,, mwanamke ana 77 tayari hapo maelewano inakuwa hamna hasa kwenye minyanduano.
Sahihi Mkuu, kwanza umri wa miaka kuanzia 55 hivi kwenda juu Wanawake wengi almost 80% huwa wanapoteza uwezo wa kushiriki.

Wakati huo Mwanaume hata akiwa na miaka 72 still anaweza kupiga mashuti yake mawili kwa siku na kujilalia zake πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 

Uzee wa Mwanamke unatokana na matunzo ya mumewe.
Nguo na chakula unampatia wewe.
Hivyo wewe ndiye unayemzeesha mkeo.
Sio ajabu siku ukifa akaanza kunawiri
 
Akili yako ina umama mwingi sana. Hadi umeshindwa kuelewa dhima ya mada
 
Haya ndio madhara ya kutegemea furaha yako kwa watu wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…