Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Dsm nimeenda zaidi ya mara 5, ili niishi lakini imeshindikana, Watu wa Dsm maisha yao magumu sana, nyuso zao zimepauka kwa mawazo, wana stress, joto kali,

Hapo kwenye mazoezi na virutubisho upo sahihi, Tatizo sisi Waafrika nimeona kipaumbele chetu ni unene, pamoja na Nyash(wanawake) . 😄
Joto la Dar hili linaweza kuua mtu, leo tangu asubuhi umeme ulikata dah ndani hakukaliki kabisa, kama tupo kwenye ki oven vile😀
 
Safi sana mkuu, pia hii ya kuoana miaka ikiwa sawa naona kuna changamoto yake.... Mwanamke akisha zaa tu.. Mwanamke anaaza Kuonekana Mkubwa
Umesema sahihi Mkuu, Wanaume huwa tunakawia kuzeeka, ndiyo maana kuna cases za wazee wa miaka 75 kuendelea kuzaa na dogodogo 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Hilo ndiyo neno kuu muhimu, haiwezekani umzeeshe mdada wa watu akuzalie watoto 6 afu umuache au umuone kazeeka nope, tuendelee kupambana na machaguo yetu 😀
😄😄, balaa sana, hii Hatua ndo huaza kuitana majina ya ajabu, " utasikia we Rashid, Rashidiiii" Mboga zipo jikoni sisi tumesha kula tayari"
 
Umesema sahihi Mkuu, Wanaume huwa tunakawia kuzeeka, ndiyo maana kuna cases za wazee wa miaka 75 kuendelea kuzaa na dogodogo 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Yeah, inachangia hiyo, mwanamume ana 75,, mwanamke ana 77 tayari hapo maelewano inakuwa hamna hasa kwenye minyanduano.
 
Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.

• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.

• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.

• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.

• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mlio oa, mnahisi hivi pia kama ninavyo hisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.

........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.
Mshukuru Mungu kwa Mke uliyenaye!

Hao. Unaowaona wanaenda na Wakati, wanaenda na wakati kwenye kila kitu.
 
Yeah, inachangia hiyo, mwanamume ana 75,, mwanamke ana 77 tayari hapo maelewano inakuwa hamna hasa kwenye minyanduano.
Sahihi Mkuu, kwanza umri wa miaka kuanzia 55 hivi kwenda juu Wanawake wengi almost 80% huwa wanapoteza uwezo wa kushiriki.

Wakati huo Mwanaume hata akiwa na miaka 72 still anaweza kupiga mashuti yake mawili kwa siku na kujilalia zake 😜🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Habari wana JF, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝,
• Nimekuwa nikifikiria na kufuatilia hili kwa miezi kadhaa sasa, nimeona mke wangu si tena yule mrembo niliyemkuta na kumtongoza.

• Atafikisha miaka 35 hivi karibuni, na tumepata watoto wawili pamoja, Lakini ni kwa nini ghafla anaonekana kuzeeka zaidi ya umri huo, ndicho sikielewi.

• Nimeona wanawake na marafiki wa umri wake bado wanavyoendelea kuwa wabunifu na kufuata mtindo wa mitindo ya maisha, lakini mke wangu hafanyi bidii tena kuchukulia mitindo kwa uzito.

• Anavaa nguo yoyote ile, bila kujali tukio. Huenda hamtanielewa kuhusu hili, kwa sababu zamani alikuwa anazingatia haya kabla hatujapata mtoto wetu wa kwanza. Labda tuseme maisha magumu, sikweli, hapitii kwenye mazingira magumu, maisha yetu ni ya kutosha namlisha vizuri kila siku.

• Hivi ni nini kinachoendelea??
• Wanaume mlio oa, mnahisi hivi pia kama ninavyo hisi mimi?, Namaanisha wale waliooa kwa miaka 5-10 na zaidi.

........ Hadithi ya kijana aliyefunga ndoa miaka 11 iliyopita." 😎.

Uzee wa Mwanamke unatokana na matunzo ya mumewe.
Nguo na chakula unampatia wewe.
Hivyo wewe ndiye unayemzeesha mkeo.
Sio ajabu siku ukifa akaanza kunawiri
 
Tunzeni wake zenu wapendeze,ushamlaza kifua kimekuwa kama ndala za gesti halafu unasema kazeeka .

Mwanamke akishazaa basi mwili unafumuka kwa kasi na kadri anavyoendelea ,kama ni mnene angalia avae zile nguo ndefu jamii ya abaya na sio za mtumba ,tafuta angalau za bei mbaya zinapendeza kwa wanawake angalau 150k .

Manukato safi hata afike 50 utamuona kawaida ila kama humtunzi na hali za umaskini lazima awe kikongwe.
Akili yako ina umama mwingi sana. Hadi umeshindwa kuelewa dhima ya mada
 
Sijui kwann mimi sinaga hii mitizamo. Miminyf akonde labda ndio nitashtuka. Akininenepa au kufumuka hata sioni tabu. Acha tu aishi anavyotaka maisha haya sio kilankitu cha kukijali muda woote uko makini kama nurse wa zam shift ya usiku..Mwache ajiachie..avae anavyotka ale anavyotaka afanye anavyotaka.. kuna muda maisha hayakupi hii option.
Haya ndio madhara ya kutegemea furaha yako kwa watu wengine
 
Back
Top Bottom