Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Swali ni je unampenda mkeo?? Kama jibu ni ndio usizungumze nae chochote fanya action, siku mtoe mpeleke sehemu wanakotengeneza kucha ., siku mbili tatu mletee viwalo unaweza kutoka nae siku nyingine ukamuacha na saluni jirani mwambie atengeneze nywele wewe ukiwa ka bar jirani ukimsubirii siku akipendeza sana mpige picha zitie kwenye frame zipambe sebule na jambo hilo liwe ni jambo endelevu sio la wiki 1 au mwezi
 
πŸ˜€πŸ˜€, mimi ni nani mpaka nipinge hii kauli,
 
Uzee wa Mwanamke unatokana na matunzo ya mumewe.
Nguo na chakula unampatia wewe.
Hivyo wewe ndiye unayemzeesha mkeo.
Sio ajabu siku ukifa akaanza kunawiri

πŸ˜€πŸ˜€, Hapana mkuu, ni yeye labda anapenda kuishi na malonya, maana chakula uhakika, kila siku 15000/- inaachwa mezani,

Sio ajabu siku ukifa akaanza kunawiri
 
mimi narafiki yangu wa kike tumekubaliana tupunguze kwa 80% kuvaa nguo au mikoba ya mtumba...nimegundua ukipendelea sana manguo ya mtumba au mikoba ya mtumba unaonakena local sana..atleast uvae mtumba ule mpya..nao usiuzoee sana .jaribu kuvaa nguo ya dukani p8ga picha then vaa ya mtumba piga picha ya dukani unashine sana kuliko mtumba...na mikoba ni vile vile..pendelea ya dukani ...
hao wavaa abaya za dukani na mtumba ni tofauti kabisaa mionekano...NAUNGA HOJA YAKO
 

mimi narafiki yangu wa kike tumekubaliana tupunguze kwa 80% kuvaa nguo au mikoba ya mtumba..
Upo sahihi kabisa mkuu, hizi nguo za mitumba zinazeesha watu, mikoba ya mitumba za Grade F, masuluali yaliyo tuna mifuko, Kwa hapo lazima mwili uharibike..
 
Angalia nisije kukuponza kwa mkwe huko nyumbani, maana hakuna watu visirani kama Wake zetu πŸ€—

Maana mimi na Bibi yenu tuko tunaitafuta miaka 80 mwaka keshokutwa 😜
πŸ˜„πŸ˜„, hiyo miaka 80, umetupiga kamba aise, kwa miaka hiyo lazima ucheze na Nokia kitoch. Siyo smart.
 
πŸ˜„πŸ˜„, hiyo miaka 80, umetupiga kamba aise, kwa miaka hiyo lazima ucheze na Nokia kitocho. Siyo smart.
Ni kweli umri huu huwa mikono na vidole vinatetema japo sio wote;

Ila binafsi natumia application ambayo naikomandi ina niandikia badala ya mimi mwenyewe kuandika πŸ€—

Mambo ya Wazee hayo 😜
 
πŸ˜‹πŸ˜‹, imekaa poa sana hii mkuu, mda ukifika atajiongeza mwenyewe.. Ila dah kazi Kweli Kweli.
 
Ni kweli umri huu huwa mikono na vidole vinatetema japo sio wote;

Ila binafsi natumia application ambayo naikomandi ina niandikia badala ya mimi mwenyewe kuandika πŸ€—

Mambo ya Wazee hayo 😜
Heshima kwako mzee wa JF, nina imani hapa jukwaani ndo mwenye umri mkubwa.
 
Unampendezesha ghafla anakuwa pisi anaanza kutombwa na raia nje. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nawaambia watu hii kitu wanabisha eti ooh nitaonekana natembea na binti mdogo.

Wanawake wakishaingia katika mahusiano sijui wanapata virutubisho gani ghafla unashangaa anakuwa mkubwa wewe unaonekana dogo.


Wanawake wakishaingia katika mahusiano sijui wanapata virutubisho gani ghafla unashangaa anakuwa mkubwa

Akizaa tu nyonga hutanuka, ichangie na mwili wake unaumbile la unene, tayari unaaza kumuita dada.
 
Mh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…