Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Unajisikiaje mara ghafla mke wako anavyoanza kuonekana mkubwa zaidi kuliko wewe?

Itakuwa huko kwao wanamwambia mbona mkeo ananenepa sana halafu wewe unakonda mkeo anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivu
anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivu.

😄😄, wanaaza, ona mabega yalivyokauka, Siyo bure hapa, mkewake atakua siyo mtu mzuri.
 
Kuna mkaka alioa mke anayemzidi miaka zaidi ya 20, sahizi wakiongozana utazani mtu na shangazi yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]kawa mnene huyo, nikiongozana anapewa shikamoo mie naambiwa habari za sahizi!
😀😀, Trailer ya scania, imefungwa kwenye kirikuu. [ don't When you grow up, you will be a scania]
 
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,mpk kuongozana na wife anaona aibu,mke mnene na anaonekana mkubwa kama shishi,jamaa mdogo mdogo kwa umbo

Wakiongozana kama huwajui utasema ni Dada na mdogo wake.
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,

😎, yeye kwa vile ameoa kabinti kembamba, ndo maana hajui hii mikikimikiki
 
Mkeo yupo busy anakosa muda wa kujihudumia na kujipend

Tafut namna yakumpunguzia kazi ,ukiwez atleast mar 2 kwa mwez jion mtoe out then mwambie napend uvae nguo ileee,

Pia usisahau kumnunulia nguo nzuri mafuta n.k
 
Tafut namna yakumpunguzia kazi.

Inabidi nitafute house girl mapema sana, ili asaidie majukum. 😋
 
Back
Top Bottom