bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Masikini ndio uwaza kuvaaHt Biligate alipopata uhakika wa kuwa na mihela alizidi kuvaa hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masikini ndio uwaza kuvaaHt Biligate alipopata uhakika wa kuwa na mihela alizidi kuvaa hovyo
Itakuwa huko kwao wanamwambia mbona mkeo ananenepa sana halafu wewe unakonda mkeo anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivu
anakunyonya,ndugu niwachochezi ukute yeye aliachika sasa ndugu yake au mwanaye wanapendana na mkewe wanaanza wivu.
😀😀, Trailer ya scania, imefungwa kwenye kirikuu. [ don't When you grow up, you will be a scania]Kuna mkaka alioa mke anayemzidi miaka zaidi ya 20, sahizi wakiongozana utazani mtu na shangazi yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]kawa mnene huyo, nikiongozana anapewa shikamoo mie naambiwa habari za sahizi!
🤓🤓😄😄, Dah hatari sana.
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,mpk kuongozana na wife anaona aibu,mke mnene na anaonekana mkubwa kama shishi,jamaa mdogo mdogo kwa umbo
Wakiongozana kama huwajui utasema ni Dada na mdogo wake.
Daaah usimshangae kuna jamaa na yeye kitaa ana changamoto hii,
Pesa ni kamusi katika maisha people discover themselves with moneyDah mkuu, sema umepiga ung'eng'e ndo tatizo.😟
Mwanamke au mwanaume akipata pesa mtazamo wake kwa mwenza kwa jicho na hisia ndio inakupa nguvu ya real na fakeKwa hiyo mkuu, chazo itakua ni ukosefu wa vitita mfukoni 🤠
Huko ndo kuoa sasa, vip kifuani natumbo kunatamanika au ndiyo unachoka kabisa?Yeah ni kibonge, alafu anazidi kunenepa tu.
Mkeo yupo busy anakosa muda wa kujihudumia na kujipend
Tafut namna yakumpunguzia kazi ,ukiwez atleast mar 2 kwa mwez jion mtoe out then mwambie napend uvae nguo ileee,
Pia usisahau kumnunulia nguo nzuri mafuta n.k
Tafut namna yakumpunguzia kazi.