Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

Labda kujiweka busy sana na kutafuta Maisha Kwa hasira,ukizipta jifurahishe,jitoe out,nunua unavyovipenda nk
ukimtegemea mwanadamu utajikuta uko depressed.maana hatuko sawa,kati ya name wawili ndo wanaweza kukutoa upweke ukafurahia Dunia.
Umeongea ukweli kabisa kusema tusitegemee mwanadamu kuwa sababu ya furaha yako.
Ila kufanya hivyo ulivyo sema haiwezi kuondoa upweke, naongea kana shuhuda wa hilo.
 
Umeongea ukweli kabisa kusema tusitegemee mwanadamu kuwa sababu ya furaha yako.
Ila kunya hivyo ulivyo sema haiwezi kuondoa upweke, naongea kana shuhuda wa hilo.
Tafuta marafiki. Au watu wa kuhang nao.kuna mda mpenzi wako anakuwa Yuko busy Kwa mpenzi wake 🤣🤣
Kuna walio na ndoa mume anarudi baada ya week Moja au mbili.ama kanogewa huko analala Hadi siku tatu ndo anarudi
Au we unadhani suluhisho la upweke ni Nini?
 
Back
Top Bottom