Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
Haya😁wote tunafanana tutachangamkiana kwenye simu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya😁wote tunafanana tutachangamkiana kwenye simu
nitumie namba pm swaibaHaya
Tuma wewenitumie namba pm swaiba
sawaTuma wewe
Na ivi ndo inavyotakiwa me mke wng hata awe anaongea na mama ake nikipiga cm yng atakata cm ya mama ake na kupokea cm yngDemu wangu mimi nikipiga simu yake ikawa inatumia huwa anakata kwanza kule ananipokea mimi. Haijawahi kutokea simu yake ikiwa inatumia asipokee simu yangu
ukweli mtupuhakunaa kitu kibaya kama kukosa kazi,au kuwa na shughuli yaa kufanya alafu hauipi kipaumbele .. (Top priority)
the other thing ni kuwa tegemezi..
iwe mali au hali .
JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala off Dude .. Jitegemee.. be independent
mwaisaGirlfriend,boyfriend..akiwa anatumika na simu muda wote usiku,.usifikirie vibaya..akiwa na mawasiliano na ex zake usipatwe na kisukari,akiwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti,usiwe na pressure..huyo mtu mzima anajua anataka nini,msimpelekane kama watoto,
So unapaswa kuchagua Kumuamini na kuacha aendelee na maisha aliyochagua..au piga chini upate amani ya moyo..nitasisitiza kwa kinyakyusa,
Because She's My Girlfriend It Doesn't Mean You Can't Flirt Or Chat With Her If You Ask Her Out Or Invite Her Over And She Agrees, Fix Her And Buy Her Whatever She Needs Then Go Out With Her.
Only Then She Will Know What Her Intentions Are With You, If Things Go Further So be it. Just be the boyfriend I couldn't be....Cause If I was the boyfriend she really wanted, she wouldn't flirt nor come over to you,
Gone Are The Days We Chase After A Girl, We Are Adults Now. You Can Only Keep A Woman That Wants To Be Kept…Focus my brother
Tununu???mwaisa
Mimi nawaza positive zaidi ya kawaida,kwani naamini ili maisha yaende nahitaji kuwa huru na mwenzangu kuwa huru.Na pale ninaopoona uhuru wangu upo shakani sichelewi kuupigania kwa nguvu zangu zote. Na kuhakikisha unasalia kwa maslahi mapana ya familia na mimi binafsi,ikibidi hata jamii ama taifa.Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
Kama upo vizuri kiuchumi ukipiga simu haya akiwa anaongea na wazazi wake anawasimamisha. La pili kama ukipiga simu unaongea vitu vya maana kama ukipiga hakuna kinacho mpa upya kichwani hawezi kupokea simu zote.Demu wangu mimi nikipiga simu yake ikawa inatumia huwa anakata kwanza kule ananipokea mimi. Haijawahi kutokea simu yake ikiwa inatumia asipokee simu yangu
Ni kweli, huwa wanasema hakuna watu wambeya kama wapenzi..? Ila niamini Mimi hakuna watu wambeya kama wamama na watoto wao..!!Wanaongeaga na mama zao sana
Na kweli, japo unaweza kupata nafuu lakini njaa inaondolewa na chakula, kiu inaondolewa na maji, upweke nao una cha kuundoa.Basi mkuu.tutafute vile vinatupa unafuu kupunguza upweke.wapenzi warabaki wa ziada hata akikupotezea angalau Kuna vitavyokuliwzza japo si kama yeye.
You have said it all. I once wrote here that nowadays we humans worship "wanting to be loved" more than God. I am certain that God is saddened by our conducts, ways of life and our priorities. Yes being ignored is daunting but its just one person, not a multitude FGS. We gotta reform our hearts and move past these "deliberate traumas" we have chosen to live with.Girlfriend,boyfriend..akiwa anatumika na simu muda wote usiku,.usifikirie vibaya..akiwa na mawasiliano na ex zake usipatwe na kisukari,akiwa na marafiki wengi wa jinsia tofauti,usiwe na pressure..huyo mtu mzima anajua anataka nini,msimpelekane kama watoto,
So unapaswa kuchagua Kumuamini na kuacha aendelee na maisha aliyochagua..au piga chini upate amani ya moyo..nitasisitiza kwa kinyakyusa,
Because She's My Girlfriend It Doesn't Mean You Can't Flirt Or Chat With Her If You Ask Her Out Or Invite Her Over And She Agrees, Fix Her And Buy Her Whatever She Needs Then Go Out With Her.
Only Then She Will Know What Her Intentions Are With You, If Things Go Further So be it. Just be the boyfriend I couldn't be....Cause If I was the boyfriend she really wanted, she wouldn't flirt nor come over to you,
Gone Are The Days We Chase After A Girl, We Are Adults Now. You Can Only Keep A Woman That Wants To Be Kept…Focus my brother
factMkuu. Kuna kazi. Kuna familia. Kuna biashara. Kuna marafiki.
Your lover's world does not revolve around you