Unajisikiaje pindi unapopiga simu ya mpenzi wako na kukuta inatumika zaidi ya mara 5?

You have said it all. I once wrote here that nowadays we humans worship "wanting to be loved" more than God. I am certain that God is saddened by our conducts, ways of life and our priorities. Yes being ignored is daunting but its just one person, not a multitude FGS. We gotta reform our hearts and move past these "deliberate traumas" we have chosen to live with.

What is mpenzi btw....smh. Kama tungekua tunahuzunika tukitoka nje ya mstari wa kuishi katika purpose yetu kama tunavyohuzunikia mapenzi, labda tusingekua hapa. Mleta mada, kaa kwenye nafasi yako. Liko kusudi la kuumbwa hapa duniani. Usitafute validation kwa mwanamke au mwanaume awaye yoyote. Ukianza kuliishi kusudi lako, mwanamke atakuheshimu, atakutii pale ambapo unamtafuta, na hutaona mashaka ukiona anaongea na simu maana we uko katika kuliishi kusudi lako..unajua your vision well well. Unataka amani? Hakuna mwanadamu anaeweza kukutimiza perfectly, ni mke, ni mume. Amani yako inatoka kwa Mungu peke yake. Wanadamu tuna ukomo, but God never disappoints. Know this and know peace!
nalijuaje hilo kisudi
 
Umeongeza nilipoishia, asie elewa hatoelewa tena..Ameen
 
Hio mara tano ni ndani ya muda gani sekunde, dakika 10 robo saa ama?
 
Na ivi ndo inavyotakiwa me mke wng hata awe anaongea na mama ake nikipiga cm yng atakata cm ya mama ake na kupokea cm yng
Huyo ukute alishapitiaga hiyo situation huko nyuma na ilimuumiza hivyo anajua akikufanyia wewe itakuuma kama ilivyokuwa inamuuma yeye inshort hapendi akupoteze
 
Mpenzi ana ndugu jamaa nmarafiki wengine nje yako.

Mda huo anakuwa anawasiliana na mojawapo ya hao.

Yeah pia kama husomeki anaweza kuwa anawasiliana na wanaosomeka.
 
Mtoa mada kuna jambo lako hapa

Back
Top Bottom