Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Mkuu wanawake wajinga sana weng wao.
Daah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah
Hongera wewe ambae sio bahili, inaonekana jamaa yako anainjoy sana kwa kua na mpenzi ambae sio bahaili.Mnaokuwaga na mawazo ya aina hii mnakuwaga bahili kama nini
Na asipopokea, akimaliza kuongea lazima aandike barua yakujieleza kwa nini hakupokea. Kwa nini anadhani watu aliokua anaongea nao wana umuhimu kuliko simu yangu?.Demu wangu mimi nikipiga simu yake ikawa inatumia huwa anakata kwanza kule ananipokea mimi. Haijawahi kutokea simu yake ikiwa inatumia asipokee simu yangu
Yeah inawezekana ikawa ivo ila me nahis ni ile heshima tu aliyonayo.Huyo ukute alishapitiaga hiyo situation huko nyuma na ilimuumiza hivyo anajua akikufanyia wewe itakuuma kama ilivyokuwa inamuuma yeye inshort hapendi akupoteze
VIjana ni washamba sana na hawajui kutumia simu zao.Ndio ninyi missed call kibao, kuja kumtafuta anakwambia nambie, au nilikua nakusalimia tu, au uko wapi ukimwambia hana cha kukwambia tena zaidi ya nilikumisi...
Unampigia zaidi ya mara 5 unataka kumwambia nini??
Ukimpigia hata mara 2 ni ujumbe tosha wa kumfanya yeye akutafute akimaliza huo ubusy wake.
Itakuwa pesa tu tutafute hela tuNini suluhisho ndugu yangu?
kweli wote mpo hiviiiSimu mtu anapigiwa mara moja tu kama ni ishu muhimu na hajapokea unamtumia msg basi
Acc yako inasoma milion au bilion ngapi ?Kwa upande wangu mimi naanzaga kuwaza negative.... sijui kwenu nyie wadau
🤣🤣🤣Piga simu mara moja asipopokea na una jambo muhimu la kumwambia mtumie msg. Akimaliza mazungumzo atakupigia.
Hakuna kitu kinakera kama unaongea na call one halafu kuna mtu anakupigia non stop utasema nyumba inawaka moto. Ukisema ukate line uliyokuwa unaongea nayo utasikia ....nambie!
Andazi liliachana na chai sio🤣Ilifanya nikamiacha mtu niliempenda sana