Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Duh hongera
 


Hakuna shida
 
Kakuzalia hao mabinti wawili ili acheze na akili zako uumtumzie hao watoto wawili wasio wako
 
Umeshaamua kuoa huna budi kukubaliana na hayo, hiyo ni moja ya upendo japo si lazima kumpost.

Mambo mengine hata hayana msingi kwahyo asimpende mwanae kisa sio wako?
Kwanza mi siamini katika kupost mtu awe ananipost eti na kusindikiza na maneno mazuri naona miyeyusho tu .

Upendo haupo kwenye kuwekeana kwa social media. Ushaamua kubwa nae mapungufu yake yaweze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…