Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Nikishakufa aliyekuwa mke wangu hayuko chini ya mamlaka yangu tena akiamua kuolewa na mwanamume mwingine hilo ni juu yake
Uko sahihi jamaa anashindwa kutofautisha mjane na single mother.

Ukiwa umekufa ni sawa kabisa haupo tena.

Lakini ukiwa hai na mume wa huyo single mother nae yuko hai.

Never ever
 
mwanaume mjinga na mpumbavu ndiye mwanaume pekee atakaye amua kuoa mke wa mtu huku na yeye akijisifu ana mke.

Nb: Umekosa bikra basi oa hata huyo Used aliyetoa mimba bila wewe kujua kuliko kuoa mke wa mtu
Uko sahihi ni mke wa mtu kabisa huyo

Mwanamke aliyetolewa mahari huwezi kumtolea mahari mara mbili.
 
Usiwasikilize hao,Lea family yako ndugu,


Binafsi nimelelewa na baba mlezi,baba alifariki alituacha 3 na vidogo, huyu baba mlezi katulea vyema na watu wasiotujua wanajua ni baba yetu mzazi,,na kazaa na mama watoto wawili na tunaishi hakuna ubaguzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Je akiwa singo maza na kizazi ishachomoka kwa mimba zilizofuata mbele..? Hio unaiitaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…