Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nikishakufa aliyekuwa mke wangu hayuko chini ya mamlaka yangu tena akiamua kuolewa na mwanamume mwingine hilo ni juu yakeNimekutafakar unavyocheka huyo anaelea mtoto wa mwenzie ambaye n marehem,je ikitokea umetangulia mbele za haki(samahan lakin).Wanao wanao wasilelewe na mwanaume mwingine kisa sio mabao yao