Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
Hata married woman anaweza kupost hvyo mbona sio kitu cha ajabu
 
Wanaume wengi mnaopenda kuoa single maza ni kwa sababu mnaona hao ndio wanawake warahisi a.k.a ganda la ndizi

Wengi wako tayari kufanya maisha na mwanamume yeyote kwa sababu wako cheap wanahofia soko lao

Sijawahi kuona single maza mgumu kutunuku mbususu. Mimi mwenyewe kuna single maza naruka naye simu moja tu anakuja kunitunuku kwa sababu nilimdanganya nitamuoa

Na niliwahi kuchunguza simu yake ana wanaume kibao, na mazungumzo yake ni kutaka wamuoe

Tupo kama 8 hivi sijajua hao wenzangu 7 wanakula kisela kama mimi au ni wajinga kama nyie wana mpango wa kumuoa kweli

Ogopa sana single maza
Single Mother ndio wanaongoza kutoa Mbususu hovyo, na pia Single Mother ndio wanaongoza kujiuza kwenye Madanguro.

INASIKITISHA SANA.
 
Kabla ya kuoa single mom hakikisha umetengeneza bond ya wew na mtoto,

Kama umeweza kutengeneza bond kwa watoto wa dada ako au bro ako na wakakupenda kama uncle wao na ukienda kuwaona wanafuraha muda wote bas mtoto wa single mom hatokushinda

Kuna watu wana damu na watoto automatically yaani unakuta tu wanawapenda watoto and vice versa na wana wakubali

Kama wewe sio mpenzi wa watoto bas single mom kaa nao mbali coz utakuwa disappointed kila mara

Another thing ukiona hamuwezani na single mom bas piga chini maisha yenyewe mafupi haya just be free and enjoy life

But me na recommend ni bora mtu uanze to Square one kama unataka kuoa na kama unataka kuzaa tu basi zaa na yeyote hata single mom
 
Hivyo vitu ulivyovitaja hapo juu sidhani kama vinahitaji muda mrefu na akili ya chuo kuvigundua.

Niko naye mwaka wa 6 huu nashindwaje kumjua nje ndani mtu ninayeishi naye?
Lakin pia kama mtoto SI wako kwann umzuie baba yake kumchukua?

Tatizo ninaloliona kwa wanaume wengi mnakutana na single mothers vichwa vibovu wanawapiga matukio mwishowe mnafikiri single mothers wote wako hivyo, same apply hata kwa wanawake wasio single mothers unakutana na pisi waruwaru unaunga tela inakupiga tukio unakuja jf kuwalalamikia wanawake wote.
Na Wala sio kupigwa kwao matukio hawajui sababu wanajua kuwa hawajielew hata mwanamke asiwe single mother hawezi kuwa na mwanaume wa ovyo asiejitambua Wala kujua nafas yake kama uliumbwa mwanaume kubali kuwa kiongoz na mtawala hakuna mwanamke Wala single mother ataekupiga matukio vijana wapew elimu ya kuwa wanaume ukiachana na jinsia wajue ni kuwa mwanaume ni kichwa
 
Vijana wanatumika bila ya wao kujijua.
SIngle maza wenyewe basi wanawaheshimu baba walezi ni ile basi tu maisha yaende.

Kwa sababu hata wao wanawake wakikutana huko wanawapondaga sana baba wa kambo wanawaitaga wajinga.

Nilishawahi kusikia single maza mmoja akiwa salon na mashosti zake wakisema Kweli mwanamume mzima anakosaje mwanamke ambaye hajazalishwa ila wewe shoga yangu mgande usimwache akulelee mtoto wako
 
Ss mkuu huku mtaan singo maza hawna hizo sifa. Ni wanawake safi wanaojiheshimu, ila wavulana ambao wapo humu hawana uwezo wa majukumu ya kiume ndio husema singo maza matatzo ili tu makosa yao wapate sbb ya kuyatetea
Hata huyo single maza tunayetoka naye, mtaani kwao ana sifa nzuri sana. Kila Jpili na J4 anaenda kwa Mwamposa.

Wanakuwa wanafiki sana, ili kidume ajichanganye afanye naye maisha kama wanetu kwenye huu uzi waliooa single maza walivyojichanganya
 
Hao single maza wapo na nyinyi ili muwalelee watoto wao ila hakuna upendo wowote

UnaNi wanawake ambao wameshatombeka sana ili kujaribu kupata mwanamume mjinga mjinga wa kulea mtoto/watoto wake

Single maza akishaahidiwa ndoa tu lazima akutunuku mbususu ili umuoe

Wakiwapata wajinga wa kulea watoto wao wananendelea kuliwa mbususu na watu wao wanaowakubali kwa sababu wana uhakika wa malezi ya watoto. Speaking from experience
Unahakika hao ambao hawana watoto hawajatombeka wala kushika mimba?
 
Habari zenu,

Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother.

Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.?

Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo maneno na hata ukitamkiwa hauamini kuwa anamaanisha?

Aisee! Kweli mlioa Single Mother mna mioyo Migumu kulalaleki.
Sasa kama wewe unajiweka nyuma nankumuona single mother hapetiwi petiwi , wakati mwingine moyo hukosa wakumpa furaha ana amua kujipa mwenyewe
 
Back
Top Bottom