Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

Wewe uliyenae ulimkuta bikra mkuu?.. au Ni Mama WA marehemu mbalimbali[emoji23][emoji23][emoji23]

Faida ya Kwanza ya single Maza anakupa assurance kwamba anaweza kuzaa.. sio Hao wenu unaweka ndani alafu unanza kuzunguka Kwa Mwamposa kutafuta mtoto..[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati si huyo mama marehemu mbalimbali hata wanaume wengi wanashida sana, na ndiyo maana wanawake wengi wanachepuka na kuketa watoto ndani, wanaume wengi hujifanya hawana tatizo kumbe wao ndiyo shida, ila kwasababu mwanamke ndiye mbeba mimba anaangushiwa jumba bovu
 
Vijana wa kizazi cha sasa mnachekesha kweli, Hivi single Maza anamapungufu gani?
Hebu tuona nafasi ya mwanamke katika mahusiano,
1. Kutimiza shida zako za kimwili na kukupa faraja(tendo la ndoa)
2.kuzaa na kulea watoto,
3. Ni mshauri na msiri wako
4.Mwangalizi wa nyumba /familia
5.msimamizi na mwangalizi wa miradi kama mnayo.
Je katika hayo lipi single Maza hawezi fanya mpaka mnawasema vibaya
 
Kuoa singo maza itanichukua gharama sawa na sadaka ya Yesu kristo labda tu kama alifiwa ba Mume napo nitahitaji vyeti vya kifo na in addition uyo mwana Mama awe Mzuri kiasi cha kuishinda tamaa yangu.
Kimsingi siwezi oa singo maza bwana nisiwe mnafiki tu maana hata hivyo sina mpango wa kuoa kabisa.
 
Kuoa single maza ni kujishusha thamani sana kwa mwanamume. Yaani unaanza maisha ya ndoa kwa kulea mtoto asiye wako. Hivi hiyo ni akili au matope?
Sasa sifa ya mwanaume Ni ipii.. ukija kwenye biblia Yusuf alilea mtoto sio wake Yule... Au umesahau mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥

Mtoto Ni Baraka.. kimsingi ujue namna ya kumsimamia Mama yake tu

Kwa Mimi nilie soma chuo yupo mwanamke alitoa Mimba zangu kunajamaa amemuoa huyo na Mimi ndo nilimtoa bikra[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa swali Ni Bora kumuoa Mama WA marehemu au kumuoa single Maza ambae umejiridhisha Sababu ya kutokuwa na mzazi mwenyenzie hazitakuwa na madhara kwenye mahusiano yenu.. na wewe akuzalie vilevile

Kimsingi hata wazee wetu wamewalea ninyi ambao Leo Ni wazee hawakuwambia tuu.. na wala hawa kusema wakapime DNA [emoji3459]n.k..

Vijana tuache uoga.. mwanamke akikupenda anaweza fanya lolote ndo maana single Maza wengi wameliwa tigo..[emoji23][emoji23][emoji23] wakikutana na watu kama nyie kwenye harakati za Ku prove upendo huwa hamuwaachi Salama..
 
Wakati si huyo mama marehemu mbalimbali hata wanaume wengi wanashida sana, na ndiyo maana wanawake wengi wanachepuka na kuketa watoto ndani, wanaume wengi hujifanya hawana tatizo kumbe wao ndiyo shida, ila kwasababu mwanamke ndiye mbeba mimba anaangushiwa jumba bovu
Mimi single Maza wangu alitaka kunikabidhi mpaka mtoto awe na majina yangu..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa sifa ya mwanaume Ni ipii.. ukija kwenye biblia Yusuf alilea mtoto sio wake Yule... Au umesahau mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]🦥🦥🦥

Mtoto Ni Baraka.. kimsingi ujue namna ya kumsimamia Mama yake tu

Kwa Mimi nilie soma chuo yupo mwanamke alitoa Mimba zangu kunajamaa amemuoa huyo na Mimi ndo nilimtoa bikra[emoji23][emoji23][emoji23]

Sasa swali Ni Bora kumuoa Mama WA marehemu au kumuoa single Maza ambae umejiridhisha Sababu ya kutokuwa na mzazi mwenyenzie hazitakuwa na madhara kwenye mahusiano yenu.. na wewe akuzalie vilevile

Kimsingi hata wazee wetu wamewalea ninyi ambao Leo Ni wazee hawakuwambia tuu.. na wala hawa kusema wakapime DNA [emoji3459]n.k..

Vijana tuache uoga.. mwanamke akikupenda anaweza fanya lolote ndo maana single Maza wengi wameliwa tigo..[emoji23][emoji23][emoji23] wakikutana na watu kama nyie kwenye harakati za Ku prove upendo huwa hamuwaachi Salama..

Taja sifa ya marehemu Mkuu?
Tangu lini mimba ambayo hata haijafikisha wiki 20 ikaitwa Mtoto au marehemu?
 
Yusufu mwenyewe alikuwa ameshamkataa Maria na alipanga amlime talaka kimyakimya.

Ila malaika akaingilia kati akamwambia ni mpango wa Mungu ndiyo Yusufu kukubali

Waache bhana inatosha Mkuu.

Sioni shida mtu akiamua kuoa single Mothers Kwa hiyari yake.
Lakini naona ni upuuzi pale ambapo atampangia huyo single Mother masharti ya kipuuzi kama asiwasiliane na mzazi mwenzake au akikataa kulea na kumpenda mtoto wa huyo Mkewe.
Huo ni upuuzi
 
Back
Top Bottom