iiiii mm nilijua watu wa nafanya kweli hayo mambo, sasa nitawezaje wakati siyawezi kiuhalisia
Sasa wachangie wakati hawajui cha kuchangia? Inakera sana wasiposoma ila wasipochangia ni poa tu.
Mkuu hilo neno la " my handsome boy" naona hunitakii mema, Mr. Mshan Jr. huwa hataki masihala kwenye mali zake! usinitafutie balaa!
Daah na wamiliki wao wanajali uhuru wa kujieleza ilimradi mashirika ya kimataifa ya utambue na kuupa tuzo pamoja na kujali kuingiza pesa hawaangalii ni kwa namna gani watu wanaathirika na hizi mada za ovyo humu jukwaani..Tatizo ni kwamba JF ya sasa imekosa ma GT.
Daa Sawa, ziara ya kusini lini tena.Hahaha ndiyo maana nikasema kipaji kuwa maarufu mtandaoni ni kipaji uvumilie yoteee ujiandae kuchafuliwa piah
Hata sijui kwakweli
Kwasisi waTz ni kawaida tu maana mambo ya umbea mbea ndo tunapenda na kuyashangilia
Tatizo ni kwamba JF ya sasa imekosa ma GT.
Watakusafisah hawahawa, usijali!Ameshanipiga talaka kitambo si hawa wanajf wamenichafua
Daa Sawa, ziara ya kusini lini tena.
Duuh Sawa mkuu, embu tujipangeNaenda Mbeyaaa tarehe 1 mpaka 5 ndiyo nitaondoka weka ratiba yako vizur
Ndiyo, we andika mada ya ugonjwa fulani wenye madhara kwa jamii, mi nitatunga story tu ya kijinga jinga either mapenzi or maisha ya mtu fulani then fuatilia wapi mjadala utanogaKumbee
Watakusafisah hawahawa, usijali!
Duuh Sawa mkuu, embu tujipange
Mbeya - uyole hapaWewe uko wapi atii kusini huko
Ndiyo, we andika mada ya ugonjwa fulani wenye madhara kwa jamii, mi nitatunga story tu ya kijinga jinga either mapenzi or maisha ya mtu fulani then fuatilia wapi mjadala utanoga
Ndo zenye wateja hizoHahahhaha mm ndiyo maana naletaga pumbaa tu
Mbeya - uyole hapa
Poa poa rafikiMm sijajua tutafikia hotel gani hapo mbeya mjini nitakujulishaa rafiki uje tule vyukuuu
Ndo zenye wateja hizo