Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Unajisikiaje ukiandika mada mzuri na yenye maana lakini ukakosa replies.?

Hahaha ndiyo maana nikasema kipaji kuwa maarufu mtandaoni ni kipaji uvumilie yoteee ujiandae kuchafuliwa piah
iiiii mm nilijua watu wa nafanya kweli hayo mambo, sasa nitawezaje wakati siyawezi kiuhalisia
 
Ameshanipiga talaka kitambo si hawa wanajf wamenichafua
Mkuu hilo neno la " my handsome boy" naona hunitakii mema, Mr. Mshan Jr. huwa hataki masihala kwenye mali zake! usinitafutie balaa!
 
Tatizo ni kwamba JF ya sasa imekosa ma GT.
Daah na wamiliki wao wanajali uhuru wa kujieleza ilimradi mashirika ya kimataifa ya utambue na kuupa tuzo pamoja na kujali kuingiza pesa hawaangalii ni kwa namna gani watu wanaathirika na hizi mada za ovyo humu jukwaani..
 
Back
Top Bottom