Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahahha kina nan sasa unawapa hongera atiii?
Kweli kipaji aisee, hongera zenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kipaji aisee, hongera zenu
Wala sikujali mkuu,nilijua tu hili jiwe ni heavy weight. Nyuzi ngumu au nzito/zenye ukweli hazichangiwi...ni kawaida tu.
Wewe na wenzako wenye kipaji..Hahahha kina nan sasa unawapa hongera atiii?
Asante kwa kujifunza!Nimejifunza kitu mkuu
Wewe na wenzako wenye kipaji..
Cha kuanzisha thread pendwa zenyewe zina wachangiaji mobUnanisingizia mm nina kipaji gani?
Asante kwa kujifunza!
Cha kuanzisha thread pendwa zenyewe zina wachangiaji mob
Hahahaha nifundishe na mmHahahhaah humu wanapenda ngono ndiyo maanaaa
Hahahaha nifundishe na mm
iiiii mm nilijua watu wa nafanya kweli hayo mambo, sasa nitawezaje wakati siyawezi kiuhalisiaWewe jitoe tu ufahamu jifanye unapenda mambo ya hovyooo hovyo lazima wakufatilie
Sasa wachangie wakati hawajui cha kuchangia? Inakera sana wasiposoma ila wasipochangia ni poa tu.Kwann wasichangie hawa member lakini? Tujiulize
Tuendelee kuchat basi jaman tupate hata 1k huon kama unaifunga hiyo comment yako my handsome boy
Hata sijui kwakweliUnapataje connection za umaarufu?
Mdogo wangu unaogopa kukosa likes.Sijawahi fungua uzi na sitakaa nifungue uzi asilani!
Personally siwapendi wanaoendesha JF for obvious reasons!Mdogo wangu unaogopa kukosa likes.
Tatizo ni kwamba JF ya sasa imekosa ma GT.Haya mambo ndio yanaingia hadi kwenye mifumo ya serikali....
Huu uzi nao umekosa wachangiaji ila ingekuwa issue za vibamia au kaandika famous fasta reply 1k alafu reply zenyewe ni nonsense tu.