Unajisikiaje ukipewa DISLIKE kwenye comment yako?

Ujumbe kuntu
 
kwa kweli mi huwa najihoji mara 2 tatu why nipewe πŸ‘Ž

Kuna member kaibuka hapa yeye kila post abagawa Dislike tu sijui roho yake imekaaje kaaje humo ndaniπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Karibuni kwa Hoja na Love za kutosha mwenzenu nifurahi😍
Najisikia vizuri kwakuwa msumari wa moto unakuwa umemuingia vilivyo
 
Kwa upande wangu sioni kama kuna shida, hata mtaani kwangu si kila mtu anayakubali mawazo yangu ama ninachokifanya.

Naomba ujiamini na ujikubali kwanza wewe mwenyewe, naamini itakupunguzia mawazi/mitazamo hasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…