Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Wewe ni mimi Kabsa aisee sem tu mim ni mrefu hcho nd kinasaidia,

ila Sura yangu na Umri wangu nkikutajia ni Mbingu na Ardhi.
Juzi Kuna Dogo(Demu) Yuko form 6 mwaka huu (Mimi nilimaliza 2012) kanikuta nakula Cafe na ndugu yangu kakaniambia "Mambo" halafu mbele kamsalimia binamu yangu nimemzidi miaka 4 "shikamoo" Moyoni nikajitukana mwenyew Qmmke[emoji849]
 
Naonekana mdogo pia na sometimes inanilazimu kutaja umri lakini hainisumbui. Naingia zangu gym naongeza nyama navaa vizuri, sipati shida ya wanawake maana wanavutiwa nami ingawa wananiona serengeti boy ila hawana namna sababu nawavutia, uzuri nina ndevu nazichonga fresh

Siwezi kuzungukwa na watoto sababu siweki mazingira ya kuzungukwa nao kwa kuwa ukweli ni kwamba hata nionekane mdogo vipi bado mimi ni mkubwa so nazungukwa nao vipi?

Ntacheleweshwa maisha na mambo mengine ila si kwa kuonekana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raha sana
 
Kijana tafuta hela watakusalimia hata kama una miaka miwili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu mm ni vice versa naonekana mkubwa kuliko umri wangu, kuna siku nipo home nafyeka majani akaja jirani mzee sio sana nikamsalimia baada ya salamu akaulizia kaka yupo nikamjibu kaka haishi hapa, akanambia kaka ako si nimemuona muda si mrefu kaingia ndani, kumbe yeye siku zote anajua mimi ni mdogo ake na baba angu kutokana na muonekano wangu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dah sio poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…