Unajisikiaje unapoonekana mdogo kuliko umri wako?

Wewe ni mimi Kabsa aisee sem tu mim ni mrefu hcho nd kinasaidia,

ila Sura yangu na Umri wangu nkikutajia ni Mbingu na Ardhi.
Juzi Kuna Dogo(Demu) Yuko form 6 mwaka huu (Mimi nilimaliza 2012) kanikuta nakula Cafe na ndugu yangu kakaniambia "Mambo" halafu mbele kamsalimia binamu yangu nimemzidi miaka 4 "shikamoo" Moyoni nikajitukana mwenyew Qmmke[emoji849]
 
Naonekana mdogo pia na sometimes inanilazimu kutaja umri lakini hainisumbui. Naingia zangu gym naongeza nyama navaa vizuri, sipati shida ya wanawake maana wanavutiwa nami ingawa wananiona serengeti boy ila hawana namna sababu nawavutia, uzuri nina ndevu nazichonga fresh

Siwezi kuzungukwa na watoto sababu siweki mazingira ya kuzungukwa nao kwa kuwa ukweli ni kwamba hata nionekane mdogo vipi bado mimi ni mkubwa so nazungukwa nao vipi?

Ntacheleweshwa maisha na mambo mengine ila si kwa kuonekana mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wanajf,

Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.

Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu

👉Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.

👉Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,

👉Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.

👉Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana

👉inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.

Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!

hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo , basi tu.

Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.

Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali hii.
Raha sana
 
Kijana tafuta hela watakusalimia hata kama una miaka miwili.
habari wanajf,

Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.

Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu

[emoji117]Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.

[emoji117]Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,

[emoji117]Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.

[emoji117]Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana

[emoji117]inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.

Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!

hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo , basi tu.

Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.

Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
habari wanajf,

Hili Jambo la kuonekana mdogo kuliko umri wangu limekuwa Jambo ambalo naona kwangu ni Kama laana au kama baraka Tena maana nikimwambia mtu umri wangu akanitazama na Mimi haamini.

Naonekana mdogo miaka kumi nyuma kuliko umri wangu halisi na hii imekuwa na madhara haya kwangu

👉Kushindwa kuchukuliwa sirias na watu.

👉Kushindwa ku date na baadhi ya wanawake kwasababu wanaoona Kama wanadate kijana mdogo wa shule.,

👉Kutokusikilizwa , na kupuuzwa.

👉Kukosa baadhi ya nafasi za kazi au uongozi sehemu Fulani Kwani watu wanakuuona Kama wewe ni mdogo Sana

👉inakupasa uwe ni mtu wa kujielezea Sana hata Kama ni interview basi unataja umri wako hata Kama hujaulizwa ili kuwa ondoa hofu. , hata Kama unatongoza msichana unakuwa unatamani umuonyeshe angalau cheti chako Cha kuzaliwa aamini.

Unaeza tamani uwe hata na ndevu tu lakini wapi!

hili Jambo naona Kama litanichelewesha kufika mbali kwani hata kukaa na watu wa Rika lako unaonekana Kama hupaswi kuwa hapo hivyo unajikuta umezungukwa na vijana wadogo , basi tu.

Hii hali inaweza kuwa ni nzuri kwa wanawake lakini kwa mwanaume inampunguzia heshima.

Kama Kuna mtu anapitia Maisha Kama haya naomba tusaidiane jinsi ya kukabiliana na hali hii.
Kwangu mm ni vice versa naonekana mkubwa kuliko umri wangu, kuna siku nipo home nafyeka majani akaja jirani mzee sio sana nikamsalimia baada ya salamu akaulizia kaka yupo nikamjibu kaka haishi hapa, akanambia kaka ako si nimemuona muda si mrefu kaingia ndani, kumbe yeye siku zote anajua mimi ni mdogo ake na baba angu kutokana na muonekano wangu
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dah sio poa
 
Back
Top Bottom