Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
 
TANZ jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
 
maana yake herufi A na I unazijua? Maprofesa wa st Josph , st Augustino mlikuwemo JF mnaweza kutupa maaana yake?
 
Kuna muda huwa nawaza nchi nyingi hefuri ya mwisho ni A...is it a coincidence..?
 
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZ jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Tanz-ia!=Tanzia! what do you mean?
 
Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
mod kabadilisha heading. Mod sio kiarabu ni kiislam
 
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Iqbal (jina la pili la mtunzi - Mohammed Iqbal Dar) + Ahmadiya (imani ya mtunzi), unapata 'IA' na kukamilisha Tan (Tanganyika) + Zan (Zanzibar).

Ova
 
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
IMG-20210426-WA0190.jpg
Mohamed Iqbal mzaliwa wa Tabora ndiye aliyesuggest Tanzania, na aliibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya Nyerere kutangaza dau la kutafuta jina zuri la muungano wa nchi hizo mbili.

Kipindi kile alilipwa shilingi 200.

Credit: Sauti kubwa.
 
Tanzania
Tan (Tanganyika)
Zan (Zanzibar)
I (TanganyIka
A (ZanzibAr)
 
View attachment 3032168Mohamed Iqbal mzaliwa wa Tabora ndiye aliyesuggest Tanzania, na aliibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya Nyerere kutangaza dau la kutafuta jina zuri la muungano wa nchi hizo mbili.

Kipindi kile alilipwa shilingi 200.

Credit: Sauti kubwa.
Mashallah
 
Back
Top Bottom