FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tena Ma Shaa Allah wanavyoyajuwa mahaba.Mtakuja kuolewa na hao waarabu
Huna shemeji wa Kiarabu wewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena Ma Shaa Allah wanavyoyajuwa mahaba.Mtakuja kuolewa na hao waarabu
Kuachiwa kinafasi kidogo cha kutoa jina.unajigamba namna hii. Ndio mana mfumo katoliki umewanyoosha sana nchi hiiNnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.
Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Hiki ni kiarab pure kwa mujibu wa Al Madrasatul al MujahidTanzanIA
LithuanIA
AlgerIA
ZambIA
RussIA
MongolIA
IndIA
EthiopIA
MauritanIA
NigerIA
TunisIA
Saudi ArabIA
SyrIA
IndonesIA
AustralIA
NB: Mleta mada Apuuzwe
Karne hii bado unaangalia mchango wa wananchi kwenye nchi yao katika religious perspective?Poor you!Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Kati ya yooooooteee uliloliona ni hili tu? Na hauko sahihi by the way.Inaitwa Persia sio Persian
Bwana wee asili ya IA kwa mujibu wa wenye dini yao ni Ikbar Ahmadiya.Umesoma shule gani wewe?Kiambishi ia kwenye jina la nchi yoyote mfano zambia,Tanzania ,Australia,Russia n.k asili yake ni kilatini na feminine nature na humanisha ''land of"kwa kiswahili ''ardhi ya.kwa kesi ya Tanzania,-ia humanisha ardhi ya Tanzan yaani ardhi ya Tanganyika na Zanzibar.Nchi nyingi zinaishia neno ia ambayo asili yake ni kilatini kwa sababu ya utawala wa Roman empire iliyosambaza lugha ya kilatini sehemu kubwa ya dunia.kwa sababu hiyo waliotoa jina Tanzania walizingatia sababu hiyo either kwa kujua ama kutojua.
vichaa vya dini is real!!Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Wathibitishe jambo hilo na vipi nchi zingine za dunia ambazo majina yake yanaishia na ia nayo inffluence ni kiislam?Bwana wee asili ya IA kwa mujibu wa wenye dini yao ni Ikbar Ahmadiya.Umesoma shule gani wewe?
Bila sisi wenye dini yetu nchi hii isingekuwa popote.
Kwani hilo neno uislam ni dubwasha kubwa kiasi gani hadi lionekane linatisha watu?naona wengi mnasema wanaogopa hilo neno nipe mantiki kwanini unadhani linaogopwa.Unaogoa neno uislam?
linatenda haki, na dunia hii wengi wao ni mafisadi na madhluma ndio maana wanaogopa uislamKwani hilo neno uislam ni dubwasha kubwa kiasi gani hadi lionekane linatisha watu?naona wengi mnasema wanaogopa hilo nipe mantiki kwanini unadhani linaogopwa.
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Seems wewe ndiye umeumia zaidi kwa alichokueleza maana umechanganyikiwa mpaka ume-quote zaidi ya mara nne.Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Hahaha funny ain't it!!!linatenda haki, na dunia hii wengi wao ni mafisadi na madhluma ndio maana wanaogopa uislam
Kazi ya akhera hiyo kwa wenye nchi yao!!Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.
Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Wewe hujui kitu mkuu,hilo jina ni la kiislam limetokana na kutoholewa kutoka kwenye Deen yetu tukufu sana na lilibuniwa na muislam mwenzetu aliyesoma dini kumkaribia mtumeUkifatilia nchi zote duniani zenye influence na lugha ya kilatin, kigiriki au zilizopata majina wakati wa ukoloni mwishoni mwa jina lake zinaishia na hizi herufi IA.
Ukiachana na Tanzania, Kuna Nigeria, Italia, Serbia nk. Hizi herufi mbili za mwisho zinamaanisha land au ardhi. Hakuna cha uislam Wala ukeisto hapo
😅😅 Naona unawainjoi wafia Deen tukufuuuWewe hujui kitu mkuu,hilo jina ni la kiislam limetokana na kutoholewa kutoka kwenye Deen yetu tukufu sana na lilibuniwa na muislam mwenzetu aliyesoma dini kumkaribia mtume
😂😂😂😂 Hakika kosa vyote usikose elimu!Bwana wee asili ya IA kwa mujibu wa wenye dini yao ni Ikbar Ahmadiya.Umesoma shule gani wewe?
Bila sisi wenye dini yetu nchi hii isingekuwa popote.