Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Hapo kwenye udini una openda. Na alitoa jina LA sumbawanga
 
Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Ahmadia ni Waislam siku hizi?
Mbona husemi lilikuwa shindano la kutafuta jina na mshindi akawa ni Qadian?
 
View attachment 3032168Mohamed Iqbal mzaliwa wa Tabora ndiye aliyesuggest Tanzania, na aliibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya Nyerere kutangaza dau la kutafuta jina zuri la muungano wa nchi hizo mbili.

Kipindi kile alilipwa shilingi 200.

Credit: Sauti kubwa.
TANZANIA - HII I and A unajua maana yake?
 
Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Kuna ulazima gani wa hadi kutaja dini zao katika muktadha huu.

Ingetosha tu kusema kuwa walioshinda kwa kupendekeza jina hilohilo labda huwakumbuki majina ila mmoja ni kutoka Tanga na mwingine kutoka Morogoro, wote watu wa asili ya Asia.

Wassalam
 
kwa sababu lipo ndani yake jina la kiislam ndio maana akataja dini
 
Kuna ulazima gani wa hadi kutaja dini zao katika muktadha huu.

Ingetosha tu kusema kuwa walioshinda kwa kupendekeza jina hilohilo labda huwakumbuki majina ila mmoja ni kutoka Tanga na mwingine kutoka Morogoro, wote watu wa asili ya Asia.

Wassalam
Unaogoa neno uislam?
 
mod kabadilisha heading. Mod sio kiarabu ni kiislam
oohh nlidhan umekosea na mod wamesaidia kumbe ulimaanisha ulichoandika.!
una maana gan kusema neno lenye asili ya kiislamu? kwani kiislama nayo ni lugha na kwamba limetoholewa kutoka hiyo lugha
Nieleweshe tafadhali🙏
 
... from jf......

Mwaka 1964, wakati nipo darasa la 8, nilisoma gazeti la the Standard na kulikuwa Shindano hili la kulipa jina nchi yetu. Wakati huo nchi yetu ilikuwa inaitwa the United Republic of Tanganyika & Zanzibar. Wakati ule, shuleni tulikuwa tunasoma jiografia ya Australia na nakumbuka kisiwa cha Tasmania. Hii ilinipa hint ya jina la Tanzania. Mimi niliandika barua wizara ya Habari. Nakumbuka kupokea hundi ya Sh. 12.50 ikiwa ni share yangu ya kuipa jina Tanzania.

Maelezo katika barua ya Katibu Mkuu ilisema: Kwa sababu kulikuwa washindi 16, kwa hiyo hizo zawadi ya Sh. 200 itagawiwa miongoni mwa washindi. Pia, barua hiyo iliniambia kwamba jina hasa lililokubaliwa ni United Republic of Tanzania and sio Tanzania, kama nilivyoandika mimi.

Nakumbuka pia kwamba gazeti la September 1, 1964 au October 1, 1964 ilikuwa na headline, " From today, we are Tanzanians"

Huyo Mohamed Iqbal kama ni katika watu 16, basi anaweza kukubaliwa. Lakini kama anasema ni peke yake aliyechagua jina hili, basi ni mwongo. Best solution ni kwa Wizara ya Habari kupekua file zao na kujua ukweli. I am pleased to be part of history of Tanzania. Ikiwa wengi katika hao 16 walikuwa watu wazima mwaka 1964, basi wengi watakuwa wameshaaga dunia na itakuwa mushkeli kujitokeza. Mimi wakati huo nilikuwa kijana wa miaka 13 lakini nilikuwa na bahati kusoma gazeti la kiingereza kwa sababu ya baba yangu, ambaye alikuwa anapenda sana kusoma magezeti.

Asili yangu ni kihindi na nilisoma Chuo cha Sokoine 1974. Sasa hivi nipo Marekani na imekuwa bahati tu kusoma forum hiyo kwa sababu ya mambo ya Lowasa.

Ahsante,
Mustafa Yusufali Pirmohamed
 
anasema muongo halafu anaomba wizara ipekue faili , yeye si angalisema tu
 
Back
Top Bottom