Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Kipindi cha uhuru Nchi nyingi ziliishiwa na IA hivyo alietunga hilo jina Alikua inspired na hilo.

Mwanzo Alibuni kama Tanzan akaona kama halisound vizuri mdomoni aka ongeza IA ili iendane na nchi nyengine za Ki Africa.

Source ni Muhammed Iqbal mwenyewe
IMG-20210426-WA0190.jpg

Sasa hivi anaishi Birmingham Uingereza.
 
Tujiulize chimbuko la nchi au mataifa haya kuishia na herufi hizi - IA
  1. TANZANIA
  2. ZAMBIA
  3. NAMIBIA
  4. AZANIA
  5. NIGERIA
  6. RHODESIA
  7. KENIA
  8. SOMALIA
  9. LIBERIA
  10. AUSTRALIA
  11. AUSTRIA
  12. BRITANNIA
 
Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.

Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Wadini hupenda kupindisha kila kitu kiwe cha udini. Mtoa mada hakuuliza dini ya mtu aliyebuni jina hilo lakini mdini mmoja anaona ni mwanya wa kuingiza udini.

Aliyekuwa mshindi wa kwanza wa jina Tanzania anasemekeana ni Iqbar na alikuwa mfuasi wa dini ya Ahmaddiya.

Baada ya kuunga Tan na Zan kufanya Tanzan aligundua kuwa majina ya nchi nyingi za kiafrika wakati huo zilikuwa zinaishia IA: Liberia, Ethiopia, Gambia, Nigeria, Somalia, Tunisia, Mauritania. Hivyo akaamua kuweka IA baada ya TanZan na kuwa TanZanIA.

Hata hivyo akachukulia kuwa IA pia ilikuwa inaashiria herufi za jina lake Iqbar na dini ya yake Ahmaddiya.
 
Sauti Kubwa
Who “created” Tanzania?
Sofia Wambura
26th April 2021
0 Comments

MANY people may know that TANZANIA is a proper name of a country in East Africa. But few know who coined the name.

While then Tanganyika President Mwalimu Julius Nyerere and Zanzibar President Abeid Amani Karume are known for uniting their two states to form the United Republic of Tanzania, few know that the two leaders never actually created the name for the new country.

Of course, “TAN” represents Tanganyika, “ZAN” represents Zanzibar. Then two letters – “IA” were added to form “TANZANIA.”

It was a creative work of a then young boy of 18 years in 1964. Now, he is an old man living in Birmingham, UK. His name is Mohammed Iqbal Dar.

He created the name “Tanzania” as a clipped combination of “Tanganyika and Zanzibar.”

The name “Tanganyika” is derived from the Swahili words tanga (“sail”) and nyika (“uninhabited plain”, “wilderness”) literally creating the phrase “sail in the wilderness”.

The name of Zanzibar comes from “zenji”, the name for a local people (said to mean “black”), and the Arabic word “bar”, which means coast or shore. So, Zanzibar literally means “the land of black people.”

Iqbal artistically created the name Tanzania in 1964 when Mwalimu Julius Nyerere, through The Nationalist newspaper, now Daily News, advertised an artistic competition to find a nice name for the new country that was being “born” from the union on 26th April 1964.

SAUTI KUBWA understands that Iqbal was awarded Tanzania Shillings 200 and a recognition by the government. Idrisa Abdul Wakil, then Home Affairs Minister who later become Zanzibar’s President, handed the cheque and trophy to Iqbal.

History shows that 80 citizens participated in the competition, and only Iqbal was declared as a first winner and be given 200/= Tshs.!!!

Mr. Mohammed Iqbal, on the above photo who was born in 1944 in Tabora. Contested while Studying at Mzumbe Secondary 1964

Unknown legend in Tz Mr. Mohammed Iqbar, from Tabora Tanganyika, Tanzania, The United Republic of Tanzania, Zanzibar
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    downloadfile.jpg
    74.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom