hilo neno la kwanza limefanya nisielewe swali lako, sorryUnaogoa neno uislam?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo neno la kwanza limefanya nisielewe swali lako, sorryUnaogoa neno uislam?
TanzanIAhilo neno la kwanza limefanya nisielewe swali lako, sorry
TanzanIA
LithuanIA
AlgerIA
ZambIA
RussIA
MongolIA
IndIA
EthiopIA
MauritanIA
NigerIA
TunisIA
Saudi ArabIA
SyrIA
IndonesIA
AustralIA
NB: Mleta mada Apuuzwe
Siyo coincidence!Kuna muda huwa nawaza nchi nyingi hefuri ya mwisho ni A...is it a coincidence..?
Mimi ni Muislam, yeyote anaeshahadia kwangu ni Muislam.Usijizime data. Nakuuliza siku hizi mnawatambua Ahmadiyya kuwa Waislam?
Mimi ni Muislam, yeyoite anaeshahadia kwangu ni Muislam.Usijizime data. Nakuuliza siku hizi mnawatambua Ahmadiyya kuwa Waislam?
Ni herufi za mwisho za jina la muanzilishi jina hilo ,mhindi tokea mkoa wa Morogoro kwa sasa wanaishi uingerezaBinafsi sifahamu zaidi ya kuwa IA za mwisho ni kibwagizo tu kinachotumiwa na majina ya nchi nyingi duniani.
Inferiority complexities at its best!Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.
Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Ni kama tungesema Tanzastan = Tanzania
Hivi unaamini Nyerere kwa namna aliipenda Tanganyika by then angeruhusu huo upuusi?Endeleeni kudanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa.Kwamba jina la mtu na dhehebu lake viwe sehemu ya jina la nchi?hahahaaha. unapotosha. I A sio hio
Safi sana. Naona sasa umemkubali Mizra Gullam kuwa mtume wako wa mwishoMimi ni Muislam, yeyote anaeshahadia kwangu ni Muislam.
Sina dhehebu wala siyatambui madhehebu kwa kuwa katika Uislam hakuna mahali imefundish tuwe na madhehebu. Dhewbu letu ni Uislam tu.
Hayo mengine mtajuwa nyinyi mnaotaka kujaza watu ujinga wa kuwagawa muwatawale.
Wewe unaleta sense
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.Inferiority complexities at its best!
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.Inferiority complexities at its best!
I maana yake India A AsiaUnajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.Inferiority complexities at its best!
We bibi upo?Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.
Hawa watu wanatia huruma basi tu, Tuishi nao hivyo hivyoHivi unaamini Nyerere kwa namna aliipenda Tanganyika by then angeruhusu huo upuusi?Endeleeni kudanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa.Kwamba jina la mtu na dhehebu lake viwe sehemu ya jina la nchi?
Inaitwa Persia sio Persian
Nafahamu hilo limewauma sana, lakini ndiyo ukweli.Inferiority complexities at its best!