TANZ + IA = TANZANIATANZ jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZ jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
maana yake herufi A na I unazijua? Maprofesa wa st Josph , st Augustino mlikuwemo JF mnaweza kutupa maaana yake?Nnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.
Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Tanzania IA herufi hizi unazijua?Kuna muda huwa nawaza nchi nyingi hefuri ya mwisho ni A...is it a coincidence..?
Tanz-ia!=Tanzia! what do you mean?Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZ jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
mod kabadilisha heading. Mod sio kiarabu ni kiislamNnachofahamu ni kuwa aliyetowa jina hilo ni Muislam na mshindi wa pili ambae alitowa jina hilohilo alikuwa ni Muislam pia. Wote wana asili ya Asia. Mmoja kutokea Tanga mmoja kutokea Morogoro, kama sijakosea.
Wakati huo wajomba wa kikatoliki walikuwa bado hawajafunguliwa macho na masikio na Nyerere, walikuwa kwenye slumber.
Binafsi sifahamu zaidi ya kuwa IA za mwisho ni kibwagizo tu kinachotumiwa na majina ya nchi nyingi duniani.maana yake herufi A na I unazijua? Maprofesa wa st Josph , st Augustino mlikuwemo JF mnaweza kutupa maaana yake?
Sorry. rudi kwenye maada mkuuTanz-ia!=Tanzia! what do you mean?
neno moja la kislam + jina la mtu. zaidi tungojee wasomi wa Jf wakishaamka wanaweza kutupa jibuBinafsi sifahamu.
Na sio Tanzania tuu..zipo nchi nyingi...is t a coincedence?Tanzania IA herufi hizi unazijua?
Hujui ngoja upate darsa leoNa sio Tanzania tuu..zipo nchi nyingi...is t a coincedence?
Nasubiri mkuuHujui ngoja upate darsa leo
Iqbal (jina la pili la mtunzi - Mohammed Iqbal Dar) + Ahmadiya (imani ya mtunzi), unapata 'IA' na kukamilisha Tan (Tanganyika) + Zan (Zanzibar).Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?
CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
hahahaaha. unapotosha. I A sio hioTanzania
Tan (Tanganyika)
Zan (Zanzibar)
I (TanganyIka
A (ZanzibAr)
MashallahView attachment 3032168Mohamed Iqbal mzaliwa wa Tabora ndiye aliyesuggest Tanzania, na aliibuka mshindi kwenye kinyang'anyiro hicho baada ya Nyerere kutangaza dau la kutafuta jina zuri la muungano wa nchi hizo mbili.
Kipindi kile alilipwa shilingi 200.
Credit: Sauti kubwa.
Who "created" Tanzania? - Sauti Kubwa
MANY people may know that TANZANIA is a proper name of a country in East Africa. But few know who coined the name. While then Tanganyika President Mwalimu Julius Nyerere and Zanzibar President Abeid Amani Karume are known for uniting their two states to form the United Republic of Tanzania, few...sautikubwa.org