Unajua asili ya neno Tanzania linatokana na asili ya Kiarabau?

hilo neno la kwanza limefanya nisielewe swali lako, sorry
TanzanIA
LithuanIA
AlgerIA
ZambIA
RussIA
MongolIA
IndIA
EthiopIA
MauritanIA
NigerIA
TunisIA
Saudi ArabIA
SyrIA
IndonesIA
AustralIA

NB: Mleta mada Apuuzwe
 
Usijizime data. Nakuuliza siku hizi mnawatambua Ahmadiyya kuwa Waislam?
Mimi ni Muislam, yeyote anaeshahadia kwangu ni Muislam.

Sina dhehebu wala siyatambui madhehebu kwa kuwa katika Uislam hakuna mahali imefundish tuwe na madhehebu. Dhewbu letu ni Uislam tu.

Hayo mengine mtajuwa nyinyi mnaotaka kujaza watu ujinga wa kuwagawa muwatawale.
 
Usijizime data. Nakuuliza siku hizi mnawatambua Ahmadiyya kuwa Waislam?
Mimi ni Muislam, yeyoite anaeshahadia kwangu ni Muislam.

Sina dhehebu wala siyatambui madhehebu kwa kuwa katika Uislam hakuna mahali imefundish tuwe na madhehebu. Dhewbu letu ni Uislam tu.

Hayo mengine mtajuwa nyinyi mnaotaka kujaza watu ujinga wa kuwagawa muwatawale.
 
Binafsi sifahamu zaidi ya kuwa IA za mwisho ni kibwagizo tu kinachotumiwa na majina ya nchi nyingi duniani.
Ni herufi za mwisho za jina la muanzilishi jina hilo ,mhindi tokea mkoa wa Morogoro kwa sasa wanaishi uingereza
 
Inferiority complexities at its best!
 
hahahaaha. unapotosha. I A sio hio
Hivi unaamini Nyerere kwa namna aliipenda Tanganyika by then angeruhusu huo upuusi?Endeleeni kudanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa.Kwamba jina la mtu na dhehebu lake viwe sehemu ya jina la nchi?
 
Safi sana. Naona sasa umemkubali Mizra Gullam kuwa mtume wako wa mwisho
 
Unajua asili ya neno Tanzania kwamba linatokana na neno la Kiislam?
Tan - Tanganyika
Zan- Zanzibar
TANZANI jee unajua herufi IA zinatokea wapi? zikakmilisha neno TANZANIA?

CC
Sheikh Mohd Said
na wasomi wenzangu tulisoma seminary za wakatoliki
I maana yake India A Asia
 
Hivi unaamini Nyerere kwa namna aliipenda Tanganyika by then angeruhusu huo upuusi?Endeleeni kudanganyana huko kwenye vijiwe vya kahawa.Kwamba jina la mtu na dhehebu lake viwe sehemu ya jina la nchi?
Hawa watu wanatia huruma basi tu, Tuishi nao hivyo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…