Unajua huwa inakuwaje ukioa mwanamke aliyekutana naye akiwa ashatumika?

Kuoa aliye tumika siyo shida ...shida ni hiyo fedhea ya HARUSI kwa aliye tumika pale walio pitanaye wanapo kucheka moyoni kwenye harusi ya mwanamke waliye tembea naye ...kwangu mimi harusi ni upumbavu hivyo kama una oa ...oa bila ya harusi
 
Kwahiyo mzee hujataka ku take risk ya kuoa kabisa, πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ basi wewe na Natafuta Ajira wote mnawaza sawa
Me ndoa na mwanamke asiye na bikra hapana kwa kweli, lakini hicho siyo kigezo cha kutokua na mwanamke maana nahitaji watoto na ukizingatia maisha ni mafupi. Ukikaa unasubiria bikra unaweza kuzeeka/kufa bila kuoa wala watoto.
 
Kuoa aliye tumika siyo shida ...shida ni hiyo fedhea ya HARUSI kwa aliye tumika pale walio pitanaye wanapo kucheka moyoni kwenye harusi ya mwanamke waliye tembea naye ...kwangu mimi harusi ni upumbavu hivyo kama una oa ...oa bila ya harusi
Kuwa na sababu ya kimaslahi ya kumchagua unayetaka kumuoa, ukiwa nayo hizi hofu za utaonekanaje hazitakuwa na maana kwako maana unajua kwanini unamuoa.
 
Ngoja nifanye ziara ya kwenda Pemba nikatafute bikra,maana huku kwa makafiri ya bara kupata bikra labda awe mtoto mdogo.
Hahaha, uwe makini tu usije ukapata bikira moja kwa gharama ya nyingine maana tetesi ni nyingi za namna wanavyowatunzia wanaume bikira zao. Kila la heri mkuu.
 
Aiseee.!
 
Sio kweli.
Mimi toka niko bikra my dream wedding day ilikua ni kuvaa shela zuuuri na bwana harusi wangu avae suti nzuri tupendezee.Watu watushangilie kanisani then from church mimi na mume wangu tu twende honeymoney popote tunapomudu.
No ukumbi no sherehe no nothing.
Binanamu wengine wote tunamalizana nao kanisani.
 
Halafu ukute mke mwenyewe alishawahi kwenda kwenye house party..... ni hatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…