ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Mimi binafsi naomba nijikite zaidi kwenye suala zima la neno utamu π .Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi
Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo
Then utamuuuπ
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!
Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoniπ€ͺ
Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziajeπ€£
Itβs Furahi Day leo, mada ni tamu na lainiπ
Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitakiπ ββοΈ
So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys
ShesRise_1 βοΈ
Furaha ni hali ya ndani ya moyo na nafsi inayodumu kwa muda mrefu zaidi. Ni kama ulivyosemaβile hali ya moyo kuwa na utulivu, amani ya ndani, na kuwa na "vibe" chanya hata kama huna kila kitu unachokitaka duniani. Mara nyingi furaha ya kweli haitegemei vitu vya nje pekee; unaweza ukawa huna fedha nyingi , hau drive fancy cars au unakula ugali na mboga za majani, lakini moyoni una amani tele na unajiona mwenye heri hence a happy being.Hivi unajua unaweza kuwa na furaha lakini usisikie utamu?
Au ukasikia utamu lakini huna furaha?
For me, furaha naiona kama ile hali ya moyo kuwa na utulivu na kujisikia vibe fulani hivi yaani ndiyo naiona ni furaha
Then raha, naona kama ni ile hali ya kuhisi uko sawa, huna matatizo
Exp: Labda huumwi, huna msongo wa mawazo, huna madeni, huuguzi
Yaani huna changamoto zinazoweza kukunyima raha
Mimi hutafsiri hivyo
Then utamuuuπ
mimi nauelewa kama ladha nzuri hivi ya kitu
Exp: ukilamba asali utasema, utasema hii asali ni tamu sana!
Kula au kufanya kitu kitamu unaweza ukahisi utamu
wengine husema,
Hii ni tamu mpaka kisogoniπ€ͺ
Wengine husema wanasikilizia utamu sasa sijui wanakiliziajeπ€£
Itβs Furahi Day leo, mada ni tamu na lainiπ
Nb: usiniulize kama hii mada nimeikula mpka nikasikia utamu wake sitakiπ ββοΈ
So, wewe unaelewaje ukisikia neno furaha, neno raha, na neno utamu? Karibuni, guys
ShesRise_1 βοΈ
Nilijuaaaaaaaaa π€£π€£π€£Mimi binafsi naomba nijikite zaidi kwenye suala zima la neno utamu π .
Mfano kipande cha nyama et π«’πππMaisha ya mwanadamu yeyote yanahitaji zaidi vitu vitamu kuliko vitu vichungu.
Kwani kitu kitamu kitakufanya uendelee kula bila kuchokaπ Yani Mfano Nyama iliyowekwa viungo kiufasaha bila kusahau limao na ikachomwa vizuri ukila kwa kusindikizia na π· kidogo..... Bhana weeee utamu wake ni balaa.
Acha basi mahiiπ«£Kwa kuongezea hapo neno utamu linaweza kujitokeza katika maeneo mbalimbali ukiondoa kwenye Chakula.π
Ni vitu gani hivyo sema pulizzzzzzKuna vitu vitamu bhana halafu vya moto hatari.
Naona ile outing unaipuuza shenzi wewe πNitaendelea wakati ujaoo................π€£π€£π€£
Naenda kusuka kwanza jioni nitoke zangu mie.
Unasemaaa hebu rudiaπFuraha ni nikiwa nae popote au nikimwona, raha ni akianza kunigusa gusa na viuchokozi vingine vingine, utamu ni bluetooth device ikiwa connected.
Kumbe mambo yapo hivyonasikia rahaa utamuuu ( utamu husika kwenye soulish realm, raha katika physical realm na furaha ni katika spiritual realm )
Nasemaaje! Nafurahi kuskia raha tukipeana utamuπ.Unasemaaa hebu rudiaπ
Ahaaa kumbe haya sawa EnjoyNasemaaje! Nafurahi kuskia raha tukipeana utamuπ.
Asante sana chiefKumbe mambo yapo hivyo
asante karibu tena
Umefafanua vizuriFuraha ni hali ya ndani ya moyo na nafsi inayodumu kwa muda mrefu zaidi. Ni kama ulivyosemaβile hali ya moyo kuwa na utulivu, amani ya ndani, na kuwa na "vibe" chanya hata kama huna kila kitu unachokitaka duniani. Mara nyingi furaha ya kweli haitegemei vitu vya nje pekee; unaweza ukawa huna fedha nyingi , hau drive fancy cars au unakula ugali na mboga za majani, lakini moyoni una amani tele na unajiona mwenye heri hence a happy being.
Kipande Cha nyama ukipate kikiwa Cha moto halafu kiwe kina ulaini fulani hivi na ukiweke mdomoni hivo hivo ππna ukitafune taratibu huku unasikilizia utamu wake na kukimeza kwa umakini mkubwa Ili usije ukaumiza koo lako.Nilijuaaaaaaaaa π€£π€£π€£
Mfano kipande cha nyama et π«’πππ
Acha basi mahiiπ«£
Ni vitu gani hivyo sema pulizzzzzz
Naona ile outing unaipuuza shenzi wewe π
dont take me that seriouslyUmefafanua vizuri
Naona leo huniulizi nimewaza niniπ
Mkuu hapa tunaongelea furaha,raha utamu, hii ni nini kati ya hayo!