Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Unajua kwanini 90% ya wana-hiphop huamini kuwa 2pac ni king wao?

Tupa qumerr tu..Msikilize notorius B.I.G
Tupa alibamba kwasababu ya lifestyle yake, ila kimziki yani punch to punch, mistari mikali, biti kali, style kali...tupa hamgusi BIG hata kwa mbali
Si ndio utuwekee tuone Big ashafanya mangapi mazuri ya kuigwa.
2pac ashaimba nyimbo za maana kama vile
1) Dear mama
2) Change
3) Ain't mad cha na nyingine nyingi za kumtetea mtu mweusi. 2pac ashawahi kuwapiga risasi maafisa wa polisi wawili kwa kisa cha kumkamata kijana mdogo mweusi na kuanza kumpa kipiga bila sababu. Kitu ambacho kilimuuzi 2pac aliekuwa anapita na kuwamiminia risasi, 2pac alifungwa kesi hii na baadae aliachiwa baada ya wale maofisa kuonekana walifanya kazi yao kinyume cha sheria. Kwamba washamfunga dogo pingu afu bado wanamshushia kipigo. So Big ashafanya yapi ya maana au nyimbo ipi ya maana kuhusu haki za watu weusi, jamii yake au hata kumuimbia mama yake.
Dear mama kila mwaka ikifika ile sikukuu ya mother's day huwa inapigwa na studio za dunia nzima, sasa Big yeye kaimba kipi cha maana cha kukumbukwa? Au wewe unasikiliza mdundo tu haujui maana ya kilichoimbwa?

Big na waimba hip hop nzima wa Marekani hawana ujanja au uwezo wa kuweza kuongea maneno ya aina hii hapo chini 👇. Huyu alikuwa ni zaidi ya Professor wa hip hop na mwanamapinduzi wa kweli kabisa wa mfumo wa kidhalimu wa wazungu wa miaka ile, na alipambana kuhakikisha haki inapatikana bila kujali madhila aliyopita ya kubambikiwa kesi mbali mbali na serikali hiyo ili kumnyamanzisha. Tofauti na Big ambae alikuwa muoga, asieweza kutetea jamii yake, na mbaya zaidi alikuwa mnafiki
 
Attachments

  • images (46).jpeg
    images (46).jpeg
    20.5 KB · Views: 41
ile michano kwenye HIT EM UP daaa !!! jamaa alikuw mhuni vibaya mno.sio hawa marapa wakiwa wanakuchana wanaficha ficha unabaki unajiuliza kanichana mimi au kamchana fulan

sasa mwamba yeye alikuwa anaanza na jina la mhusika ,halafu zinafuata mazafacka sasa[emoji3]

na ndivyo maisha yanavyotakiwa yawe,nikikosea nichane sio kuniwekea mafumbo kama hawa marappa wa kibongo.
Pac hakuwa mnafiki, ukizingua anakuchana. Alimchana hadi dr Dree tena live uso kwa uso. Kesho yake dr akaacha studio ya deathrow na kuhamia katika studio nyingine.

Kwenye wimbo wa how do you want alioimba na kina kc jojo kamchana live raisi wa kipindi hicho Bill Clinton akamwita mlevi mbwa 😂😂😂
 
Mkuu ukimalizi unitajie na wasanii wa Bongo waliokua wanamuiga lifestyle ya Nelly😅.
Ile kuvaa Kofia ya kuxhwa wazi, kuvaa singlend juu ya shati.
Mimi naanza na Jaymoo...

Ndoto ya kila msanii wa Bongo ilikua kua kama Nelly.
Ya ila sio wabongo wote waliomuiga Nelly, wapo wengine walimuiga Sisco, wengine DMX wengine Pac na kilemba chake, suruali mlegezo nk.
 
Mi naona kama 2pac ana kuzwa sana.
Sijui ndo tuseme nyota...au ndo kifo!!!! Maana ukifa napo una trend
Sio kifo bali uwezo aliokuwa nao mkuu. 2pac kama haukumfatilia vizuri hauwezi kumjua, ila ukiwa mfuatiliaji wa life style yake utamjua tu.
Kumbuka mama yake 2pac alikuwa ni kiongozi wa black panther (chama cha kupigania uhuru wa mtu mweusi Marekani) Yeye alikuwa kiongozi pale New York kwa upande wa wanawake.
Kwahiyo 2pac na familia yake walianza kujulikana na kufuatiliwa na FBI pamoja na CIA toka 2pac hajazaliwa, baada ya kuzaliwa na mpaka alipokuwa mkubwa.
Wewe unafikiri hao wasanii wakubwa kujaribu kuwa kama yeye na kumtaja taja ni kwa bahati mbaya? Mbona hawakumtaja au kuiga kutoka kwa Big Punish, mbona hawakumtaja au kuiga kutoka kwa Easy E, 50 Cent Original hao wote niliokutajia wameshakufa kabla na wengine baada ya 2pac lkn hawajulikani kivile kwa sababu hakuna la maana walilofanya ambalo lingefanya wasanii wengine wa waige.

Angalau BiG kidogo alijitahidi na kukubalika maeneo ya New York.
 
Huna ulijualo yaani BIG alijitahidi kujulikana maeneo ya New York, wakati hadi wewe hapo mpitimbi unamfahamu.
 
2pac kilichompa umaarufu ni mdomo mchafu au usema ovyo (big mouth). Ila kwa mistari hamfikii hata Nas hata robo tu hagusi.
Hivi umesoma post vizuri?
Unamzungumzia Nas ambae alikuwa anafanya mziki wake kupitia kimvuli cha 2pac? Nas huyu huyu ambae alikuwa akimuiga, na mpaka leo anaendelea kumuiga 2pac kimavazi?

2pac alikuwa ashamchana Nas live bila kupepesa macho, na Nas hakuwa na uwezo wa kutunga nyimbo ya kumjibu.
🎶 This little nigga named Nas thinks he live like me, talking bout he left hospital took five like me.
You living fantasies, nigga i reject your deposit🎶

Ni nyimbo zipi au kitu kipi ambacho Nas alifanya wasanii wenzake wakubwa wakakiiga kama walivyoiga kwa 2pac?
 
Hivi umesoma post vizuri?
Unamzungumzia Nas ambae alikuwa anafanya mziki wake kupitia kimvuli cha 2pac? Nas huyu huyu ambae alikuwa akimuiga, na mpaka leo anaendelea kumuiga 2pac kimavazi?

2pac alikuwa ashamchana Nas live bila kupepesa macho, na Nas hakuwa na uwezo wa kutunga nyimbo ya kumjibu.
[emoji445] This little nigga named Nas thinks he live like me, talking bout he left hospital took five like me.
You living fantasies, nigga i reject your deposit[emoji445]

Ni nyimbo zipi au kitu kipi ambacho Nas alifanya wasanii wenzake wakubwa wakakiiga kama walivyoiga kwa 2pac?
Narudia tena.

Kilichompa umaarufu 2pac ni mdomo mchafu, unaotema shombo.

Ila kimistari japo ni mkali but I can put Nas above him. Na kwa flow japo ni mkali but BIG is above him.
 
Back
Top Bottom