Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,681
- 9,084
Kwanza tujue tunaongelea maisha au mziki?Watoto wadogo ndio watapinga heshima ya 2Pac na kumfananisha na zembe, snitch, jealous Big.
2pac atabaki kuwa 2pac.
Kama ni maisha 2pac yupo juu kuliko BIG na ameacha alama kubwa kwasababu ya harakati zake.
Na ndio kinachofanya watu wamkumbuke.
ila tukiishia kuangalia mziki tu purely bila kufuatilia sijui nani alikuwa anapigania haki za kina nani.
BIG kimziki alikuwa anajua kuliko Pac.
Tukiangalia tu flow, style, wordplay BIG yuko juu.
Sema BIG mziki wake haukuwa kiharakati.
Hata saivi tukiangalia kimziki tu 2pac anazidiwa na wasanii wengi wa sasa ila kiharakati bado hawajamfikia.