Unajua kwanini Wazungu wanapenda kusoma vitabu?

Ni tabia tu. Kusoma inaweza kuwa ndio muda wako wa kupumzika. Hao watu wa chini uwasemao ndio wanaongoza kukaa vijiweni.
Huhitaji muda mrefu kusoma hata nusu saa, pages 2/3 kitabu kimoja kwa mwezi inatosha.
hobbies pia mkuu
 
Mkuu lugha siyo kii ngereza na kiswahili tu, ziko nyingi. Ni kawaida kabisa kumkuta mfaransa ana vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza, kispaniola na kiitaliano. Au hoja yako nn?
Mboni haujasema Mfaransa umemkuta na kitabu cha Kiswahili?
 
Mboni haujasema Mfaransa umemkuta na kitabu cha Kiswahili?
Kiukweli kiswahili siyo lugha ya kujifunza, ndiyo maana huoni ikisomwa huko duniani.

Haina utajiri wa maarifa yoyote. Hata wanaoipigia debe ukiwasikiliza wanaishia kusema "kiswahili ni lugha tamu kama titi la mama".

Lugha imebeba majungu, umbea na masikitiko tu.
 
ephen_ OhMama Duuuuh HII mpya kabisa
 
Reactions: G4N
# roca fella


Hata mimi ni msomaji kiasi wa vitabu pale ninapo pata nafasi huwa ninafurahia tukio hilo kwa maana kusoma ni kuongeza maarifa na kupata mwangaza.
Unataka tukutombe au? Nakuona mda mrefu unatuma signal kwenye avatar mara umeweka tako umetubong'olea leo unatuonesha Papa tukueleweje?
 
Unataka tukutombe au? Nakuona mda mrefu unatuma signal kwenye avatar mara umeweka tako umetubong'olea leo unatuonesha Papa tukueleweje?
# Roca fella

kuweka picha katika profile haihisiani na suala la ngono,
nimeweka picha kwa mapenzi yangu ingawaje Mimi ni jinsia ya kiume.
 
Fema majarida hayakuwai kunipita kila yakitoka.

Na kwelii m n msomaji mzuri mpaka na aka ya somasoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ila sina level ya kutisha kama wazungu sema kibongobingo n somasoma.
 
Mkuu lugha siyo kii ngereza na kiswahili tu, ziko nyingi. Ni kawaida kabisa kumkuta mfaransa ana vitabu vilivyoandikwa kwa kiingereza, kispaniola na kiitaliano. Au hoja yako nn?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hivyo ndio vilugha vyao mbna hata hapa kuna watu wanamudu vilugha vitatu vinne ukiacha kiswahili na kingreza.
Sisi safari n ndefu sanaa utoke
 
πŸ”¨πŸ“Œ
 
Aisee mimi kitabu mpaka nisome hard copy. Nimeshindwa kusoma vya mtandaoni. Nimesoma vichache sana. Pia napenda nivione kabatini.
Naelewa hiyo hali ila kama ishu ni cost inabidi nifanye hivyo. Kwenye simu na PC nina vitabu ambavyo naweza jaza chumba kizima. Na vingi ni vya 2022, 23, 24. Kuna hiki nimekipata juzi kimetoka mwezi huu. Bei yake Amazon ni 150k. Plus cost ya usafirishaji inakuwa kama 250k+. Hicho ni kimoja vikiwa vingi gharama yaweza kufikia ya mradi kabisa. Na sahivi nishazoea kabisa hivyo kiwe cha kushika mkononi au soft copy kama pdf na epub, kwangu ni sawa tu.
 

Attachments

  • Screenshot_20240617-112505.jpg
    216.4 KB · Views: 4

Kweli kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…