Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi

Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Kapewa pumzi na nani?
 
Kama iliyo wengine ni wembamba,warefu wafupi pia,qalw
Mtu kuwa mwembamba, mrefu, mfupi n.k inakuwa determined primarily na genes zilizoko katika DNA..
Je kuna gene yeyote inayoleta upofu kwenye DNA ya mwanadamu?
 
Mtu kuwa mwembamba, mrefu, mfupi n.k inakuwa determined primarily na genes zilizoko katika DNA..
Je kuna gene yeyote inayoleta upofu kwenye DNA ya mwanadamu?
Upofu hauna vinasaba na upofu.Upofu una vyanzo vingi ikiwemo itilafu kwenye mfumo wa uumbaji
 
Akishindwa kujua hivyo tuhitimishe ni Mungu?
Kama hana majibu ya hayo maswali yanini anabishia wengine wenye hoja tofauti , nijuavyo anayebisha huwa ana hoja tofauti.

Shida ni hamna hoja halafu mnabisha
 
Kama hana majibu ya hayo maswali yanini anabishia wengine wenye hoja tofauti , nijuavyo anayebisha huwa ana hoja tofauti.

Shida ni hamna hoja halafu mnabisha
Nimeshakwambia kuwa si lazima nijue jibu halisi la swali ili nigundue uongo kwenye jibu linalotolewa kuhusu swali hilo ...unajua hilo?
 
Umesh
Wewe una evidence? Mbona huweki
Kwani nimepinga point zipi? Mimi nilichokifanya nimekuuliza swali so nahitaji kujua nakujifunza sija counter any of your points shida ni pale hauna
Any points sa ku support kupinga kwako hoja za watu wanaosimamia kwamba Mungu yupo

Jua kwanza nini maana ya mjadala kisha ndo uje na hayo maswali.

So kama umekosa majibu means haujui unachobishania
 
Nimeshakwambia kuwa si lazima nijue jibu halisi la swali ili nigundue uongo kwenye jibu linalotolewa kuhusu swali hilo ...unajua hilo?
Thibitisha kwamba unaweza kugundua uongo bila kuwa na evidence /jibu.
 
Unaniuliza chanzo cha mwanadamu ni kipi?
Nakujibu sikijui Ila hio haitoi uthibitisho kuwa mungu ndio kaumba.

Wewe unakuja kusema kama sina evidence za chanzo cha mwanadamu basi sitakiwa kuhoji wanaosema mungu ndio muumba! Haya nakwambia niwekee hizo evidence za kuonyesha mungu kaumba, unaleta blah blah halafu unasema nijifunze mijadala!!!??
 
Really? Assume kwamba haujui kanuni ya kuzidisha vipi utajua hilo jibu ni la uongo? Maana kwenye hesabu jibu linafuata kanuni na sheria husika uki violate any of those basi jibu linakuwa la uongo means ukishajua sheria basi jibu unalijua i will prove to you with a question.

From your question the answer is 234*457=106948?

Usitumie kanuni just niambie kama ni ukweli au uongo
 
Unaweza kunionesha ni wapi nimesema mungu ndo kaumba binadamu? Onyesha hata screenshot ya hiyo post 😂😂 nime reason unapaniki hebu jibu maswali yangu wacha blah blah
 
Usipojua jibu halisi basi ni lazima uzijue kanuni za muhimu ambazo zinaweza kukuongoza kuutambua uongo unaotolewa kuhusu swali ambalo hata wewe hujui ukweli halisi na wa moja kwa moja vinginevyo hataweza kupinga.

Nimeweza kupinga dhana nzima ya mungu kuwepo kwa sababu ina utata na habari zinazojipinga hata kama Mimi mwenyewe sijui ulimwengu ulitokeaje.
Hapo ni kwa kutumia kanuni muhimu ya kuangalia logical consistency ya dhana nzima bila haja ya kujua ulimwengu ulianzaje.
 
Vijana wa hovyo mkishashiba makande mkashushia na balimi basi mnaanza kuropoka hovyo na kumkufuru muumba wetu
 
Unaweza kunionesha ni wapi nimesema mungu ndo kaumba binadamu? Onyesha hata screenshot ya hiyo post 😂😂 nime reason unapaniki hebu jibu maswali yangu wacha blah blah
Point yangu si kutaka wewe unipe evidence, Bali kukuonyesha kuwa hauko sahihi unaponiambia Mimi sitakiwi kuwahoji wanaotoa jibu la ulimwengu umeumbwa na mungu na nikae kimya kisa sina jibu ulimwengu umeanzaje sasa kwanini hao wenye majibu wasituonyeshe evidence zinazosapoti majibu yao?

Unaniambia nijifunze mijadala nashindwa kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…