Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kapewa pumzi na nani?Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi
Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapewa pumzi na nani?Mwanadamu bhana kapewa pumzi baada ya kumshukuru Muumba wake yeye anamkufuru kama hivi
Subiri siku iyo pumzi ikate ndo utamjua Mungu vizuri kma saivi hutaki kumjua
Kama iliyo wengine ni wembamba,warefu wafupi pia,qalwTaja hizo sababu kwanini wengine wazaliwe vipofu.
Mtu kuwa mwembamba, mrefu, mfupi n.k inakuwa determined primarily na genes zilizoko katika DNA..Kama iliyo wengine ni wembamba,warefu wafupi pia,qalw
Upofu hauna vinasaba na upofu.Upofu una vyanzo vingi ikiwemo itilafu kwenye mfumo wa uumbajiMtu kuwa mwembamba, mrefu, mfupi n.k inakuwa determined primarily na genes zilizoko katika DNA..
Je kuna gene yeyote inayoleta upofu kwenye DNA ya mwanadamu?
Mkuu hawana majibu ya uhakikaKapewa pumzi na nani?
Weka sawa unaongelea uumbaji upi.Upofu hauna vinasaba na upofu.Upofu una vyanzo vingi ikiwemo itilafu kwenye mfumo wa uumbaji
No evidence no right to speak ! Hujui unachikibishania so nikushauri piga kimyaMimi sijui zilianzaje. Je hiyo inafanya mungu awe muanzilishi?
Kama hana majibu ya hayo maswali yanini anabishia wengine wenye hoja tofauti , nijuavyo anayebisha huwa ana hoja tofauti.Akishindwa kujua hivyo tuhitimishe ni Mungu?
Wewe una evidence? Mbona huweki?No evidence no right to speak ! Hujui unachikibishania so nikushauri piga kimya
Nimeshakwambia kuwa si lazima nijue jibu halisi la swali ili nigundue uongo kwenye jibu linalotolewa kuhusu swali hilo ...unajua hilo?Kama hana majibu ya hayo maswali yanini anabishia wengine wenye hoja tofauti , nijuavyo anayebisha huwa ana hoja tofauti.
Shida ni hamna hoja halafu mnabisha
Kwani nimepinga point zipi? Mimi nilichokifanya nimekuuliza swali so nahitaji kujua nakujifunza sija counter any of your points shida ni pale haunaWewe una evidence? Mbona huweki
Thibitisha kwamba unaweza kugundua uongo bila kuwa na evidence /jibu.Nimeshakwambia kuwa si lazima nijue jibu halisi la swali ili nigundue uongo kwenye jibu linalotolewa kuhusu swali hilo ...unajua hilo?
Unaniuliza chanzo cha mwanadamu ni kipi?Umesh
Kwani nimepinga point zipi? Mimi nilichokifanya nimekuuliza swali so nahitaji kujua nakujifunza sija counter any of your points shida ni pale hauna
Any points sa ku support kupinga kwako hoja za watu wanaosimamia kwamba Mungu yupo
Jua kwanza nini maana ya mjadala kisha ndo uje na hayo maswali.
So kama umekosa majibu means haujui unachobishania
Nimeshakujibu post namba 152Thibitisha kwamba unaweza kugundua uongo bila kuwa na evidence /jibu.
Really? Assume kwamba haujui kanuni ya kuzidisha vipi utajua hilo jibu ni la uongo? Maana kwenye hesabu jibu linafuata kanuni na sheria husika uki violate any of those basi jibu linakuwa la uongo means ukishajua sheria basi jibu unalijua i will prove to you with a question.Ukiniambia 234 × 457= 12 nitajua ni uongo hata kama sijui jibu la moja kwa moja la 234×457 ni ngapi.
Kwasababu ya kanuni ya muhimu kabisa kwamba kwenye hesabu za kuzidisha namba nzima, jawabu lazima Liwe kubwa kuzidi namba zilizotumika kuzidishwa. Hapo jibu ni dogo kuliko namba Za awali hivyo sihitaji kujua jibu halisi la 234×457 ni ngapi ili kujua kuwa jibu la 12 ni uongo
Unaweza kunionesha ni wapi nimesema mungu ndo kaumba binadamu? Onyesha hata screenshot ya hiyo post 😂😂 nime reason unapaniki hebu jibu maswali yangu wacha blah blahUnaniuliza chanzo cha mwanadamu ni kipi?
Nakujibu sikijui Ila hio haitoi uthibitisho kuwa mungu ndio kaumba.
Wewe unakuja kusema kama sina evidence za chanzo cha mwanadamu basi sitakiwa kuhoji wanaosema mungu ndio muumba!!!!
Haya nakwambia niwekee hizo evidence za kuonyesha mungu kaumba, unaleta blah blah halafu unasema nijifunze mijadala!!!??
Usipojua jibu halisi basi ni lazima uzijue kanuni za muhimu ambazo zinaweza kukuongoza kuutambua uongo unaotolewa kuhusu swali ambalo hata wewe hujui ukweli halisi na wa moja kwa moja vinginevyo hataweza kupinga.Really? Assume kwamba haujui kanuni ya kuzidisha vipi utajua hilo jibu ni la uongo? Maana kwenye hesabu jibu linafuata kanuni na sheria husika uki violate any of those basi jibu linakuwa la uongo means ukishajua sheria basi jibu unalijua i will prove to you with a question.
From your question the answer is 234*457=106948?
Usitumie kanuni just niambie kama ni ukweli au uongo
Point yangu si kutaka wewe unipe evidence, Bali kukuonyesha kuwa hauko sahihi unaponiambia Mimi sitakiwi kuwahoji wanaotoa jibu la ulimwengu umeumbwa na mungu na nikae kimya kisa sina jibu ulimwengu umeanzaje sasa kwanini hao wenye majibu wasituonyeshe evidence zinazosapoti majibu yao?Unaweza kunionesha ni wapi nimesema mungu ndo kaumba binadamu? Onyesha hata screenshot ya hiyo post 😂😂 nime reason unapaniki hebu jibu maswali yangu wacha blah blah