Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
- Thread starter
-
- #241
Kwanini unajibu juujuu?Zipo elimu nyingi tu nje ya sayansi zenye uwezo wa kutoa majibu ambayo sayansi imeshindwa kutupa.
Sayansi imeweza kujibu 20% tu ya mambo yaliyopo Dunia.
Mfano Elimu kuhusu dini, uchawi, ulimwengu wa ROHO,Kwanini unajibu juujuu?
Elimu zipi hizo?
Wanasayansi kushindwa kutengeneza bawa la mbu kunamfanya mungu awe muumba wa hilo bawa?Sababu sayansi haina uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe. Ushawahi kusikia Wanasayansi wametengeneza hata bawa la Mbu ? Si unamjua Mbu ? Sayansi haipo kumpa mtu ukweli huu ndiyo ukweli ulivyo.
Dini iliamini kuwa jua linaizunguka dunia, sayansi ikathibitisha kuwa ni dunia ndio inalizunguka jua...Mfano Elimu kuhusu dini, uchawi, ulimwengu wa ROHO,
Hatuko radhi kukubali jibu la uongo, tupo radhi kuamini nadharia inayofanana na ukweli mpaka ukweli halisi utakapokuwa wazi.Mimi sina hakika na chochote kile.
Kwahyo unaponiambia ni Mungu natamani pia unithibitishie ili niwe na uhakika.
Tatizo la sisi homo sapiens, hatupendi kukubali kukosa majibu hivyo kila kitu tunakitafutia jibu (Hili ni jambo zuri kuhusu sisi) lakini pia tuko radhi tukubali jibu la uongo kuliko kutokuwa na jibu kabisa (Hili ndio jambo baya kuhusu sisi)
Wewe unetolewa msukule si bure na hapo una type uko dariniNimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Unaiamini dhana ya uwepo wa mungu ama unaijua?Hatuko radhi kukubali jibu la uongo, tupo radhi kuamini nadharia inayofanana na ukweli mpaka ukweli halisi utakapokuwa wazi.
Kama ndani yako kuna nadharia inakuambia yupo MUNGU kwann usiiamini nyakati hizi ambazo huna majibu kuhusu ww ni nani na ulimwengu ni nn?
Sijaelewa hiyo inahusiana vipi na mjadala.Wewe unetolewa msukule si bure na hapo una type uko darini
Kwa hio kosa Ni wewe kuumbwa mzima?Vipi kuhusu watu wanaozaliwa vipofu macho yao hayawezi kutazama na kutofautisha rangi ?
Je hao wana kosa gani? Ama kwa sababu gani wameumbwa hawajakamilika kama wenzao
Hoja yako ni ipi?Kwa hio kosa Ni wewe kuumbwa mzima?
Jana Kuna jamaa kakatwa mguu na Mamba akiwa mtoni Mamba kaondoka na mguu wake , wapo ambao hawajauona mwaka wengine wameutoa wakiwa kitandani kwa magonjwa kawaida au ulemavu wa kudumu Sasa wewe naona Kuna kitu unakitafuta endelea
Dini iliamini kuwa jua linaizunguka dunia, sayansi ikathibitisha kuwa ni dunia ndio inalizunguka jua...
Watu waliamini kuwa mtu mwenye ukoma kalaaniwa au karogwa, sayansi ikathibitisha kuwa no ugonjwa tu unaosababisha na vimelea.
Unanishauri nisi base kwenye sayansi pekee ambayo iinahusu facts na experiments ,nijikite kwenye elimu za uchawi na Dini ambazo zinahusu mambo ya kufikirika na yasiyothibitishika.
Yani kwenye Dini na uchawi ndio tutaupata ukweli wakati dini hizo ndizo zinazokumbatia uongo?
Post yako inathibitisha madai yangu kuwa imani zote hizo ni zao la uvivu wa kufikiri hivyo mwanadamu anaamua kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu kwake kuyaelezea.
Kama kinajulikana jaribu na wewe kuuumba chochote chenye uhai mfano wa Mbu ,swali , Mungu jinsi alivyo liko nje uwezo wako.Hoja nyepesi sana...Kila kitu hiki kinajulikana mechanisms zake
Umetolewa msukule ndo hoja yanguHoja yako ni ipi?
Mkuu unaweza thibitisha kuwa umeumbwa na Mungu? AU kwasababu hujui umetokana na nini basi wewe umeamua kusema ni Mungu baada ya kukosa jibu!Wewe mwenyewe ullikujaje duniani?
Ikiwa Mungu aliunbwa wewe, wewe mwenyewe uliumbwa na nani?
Huna jipya ndugu, Mungu yupo jana leo na hata milele.
Acha upumbavu
Kwa hio kosa Ni wewe kuumbwa mzima?
Jana Kuna jamaa kakatwa mguu na Mamba akiwa mtoni Mamba kaondoka na mguu wake , wapo ambao hawajauona mwaka wengine wameutoa wakiwa kitandani kwa magonjwa kawaida au ulemavu wa kudumu Sasa wewe naona Kuna kitu unakitafuta endelea
Kushindwa kujua binadamu katokana na nini siyo uthibitishe wa uwepo wa MunguUtoto wako umeanza kwa kusema Mungu ameumbwa na mwanadamu na nikikuuliza binadamu ametoka wapi au kaletwa na nani?? Si ndo utaniletea hoja za mtoto wa chekechea.
Hii ina make sense, kuwa Mungu ni chanzo cha uwepo wako hapa duniani. So mleta mada anaweza kupingwa kama atakata kuwa yeye hana chanzo.Kujua kama kuna Mungu wala sio complex issue.
Ipo hivi.. Mungu=Muumba(aliyekuumba wewe, huyo ndiyo Mungu wako)
Labda kama useme wewe haujaumbwa umejileta mwenyewe hapa duniani na wazazi wako uliwaleta wewe hapa duniani, na wazazi wa wazazi wako uliwaleta wewe hapa duniani. Labda ikiwa hivyo unaweza ukasema hakuna Mungu. AHSANTE