Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Zipo elimu nyingi tu nje ya sayansi zenye uwezo wa kutoa majibu ambayo sayansi imeshindwa kutupa.
Sayansi imeweza kujibu 20% tu ya mambo yaliyopo Dunia.
Kwanini unajibu juujuu?
Elimu zipi hizo?
 
Sababu sayansi haina uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe. Ushawahi kusikia Wanasayansi wametengeneza hata bawa la Mbu ? Si unamjua Mbu ? Sayansi haipo kumpa mtu ukweli huu ndiyo ukweli ulivyo.
Wanasayansi kushindwa kutengeneza bawa la mbu kunamfanya mungu awe muumba wa hilo bawa?

Ukweli unapatikana wapi?
 
Mfano Elimu kuhusu dini, uchawi, ulimwengu wa ROHO,
Dini iliamini kuwa jua linaizunguka dunia, sayansi ikathibitisha kuwa ni dunia ndio inalizunguka jua...

Watu waliamini kuwa mtu mwenye ukoma kalaaniwa au karogwa, sayansi ikathibitisha kuwa no ugonjwa tu unaosababisha na vimelea.

Unanishauri nisi base kwenye sayansi pekee ambayo iinahusu facts na experiments ,nijikite kwenye elimu za uchawi na Dini ambazo zinahusu mambo ya kufikirika na yasiyothibitishika.
Yani kwenye Dini na uchawi ndio tutaupata ukweli wakati dini hizo ndizo zinazokumbatia uongo?

Post yako inathibitisha madai yangu kuwa imani zote hizo ni zao la uvivu wa kufikiri hivyo mwanadamu anaamua kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu kwake kuyaelezea.
 
Mimi sina hakika na chochote kile.
Kwahyo unaponiambia ni Mungu natamani pia unithibitishie ili niwe na uhakika.

Tatizo la sisi homo sapiens, hatupendi kukubali kukosa majibu hivyo kila kitu tunakitafutia jibu (Hili ni jambo zuri kuhusu sisi) lakini pia tuko radhi tukubali jibu la uongo kuliko kutokuwa na jibu kabisa (Hili ndio jambo baya kuhusu sisi)
Hatuko radhi kukubali jibu la uongo, tupo radhi kuamini nadharia inayofanana na ukweli mpaka ukweli halisi utakapokuwa wazi.

Kama ndani yako kuna nadharia inakuambia yupo MUNGU kwann usiiamini nyakati hizi ambazo huna majibu kuhusu ww ni nani na ulimwengu ni nn?
 
Unaiamini dhana ya uwepo wa mungu ama unaijua?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Vipi kuhusu watu wanaozaliwa vipofu macho yao hayawezi kutazama na kutofautisha rangi ?

Je hao wana kosa gani? Ama kwa sababu gani wameumbwa hawajakamilika kama wenzao
Kwa hio kosa Ni wewe kuumbwa mzima?

Jana Kuna jamaa kakatwa mguu na Mamba akiwa mtoni Mamba kaondoka na mguu wake , wapo ambao hawajauona mwaka wengine wameutoa wakiwa kitandani kwa magonjwa kawaida au ulemavu wa kudumu Sasa wewe naona Kuna kitu unakitafuta endelea
 
Hoja yako ni ipi?
 
Dini iliamini kuwa jua linaizunguka dunia, sayansi ikathibitisha kuwa ni dunia ndio inalizunguka jua...

Watu waliamini kuwa mtu mwenye ukoma kalaaniwa au karogwa, sayansi ikathibitisha kuwa no ugonjwa tu unaosababisha na vimelea.

Unanishauri nisi base kwenye sayansi pekee ambayo iinahusu facts na experiments ,nijikite kwenye elimu za uchawi na Dini ambazo zinahusu mambo ya kufikirika na yasiyothibitishika.
Yani kwenye Dini na uchawi ndio tutaupata ukweli wakati dini hizo ndizo zinazokumbatia uongo?

Post yako inathibitisha madai yangu kuwa imani zote hizo ni zao la uvivu wa kufikiri hivyo mwanadamu anaamua kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu kwake kuyaelezea.

Kuna aina mbili za magonjwa moja ya kibailogia na magonjwa ya kiroho.Yote matokeo yake uonekana kimwili.

Upo ukimwi, kansa, ukoma nk yapo ya kutengenezwa haya mtu anapona kabisa kupitia tiba za kiroho na sio kwa tiba za kisayansi. Hata madaktari wa hospital wanajua kuhusu hili thus wao wakishindwa kwa vipimo na utaalamu wao wote wanakushauri hili sio la kidaktari jaribu tiba za kiroho.

Hakuna uthibisho kwamba dini inasema jua linazunguka duniani. Mfano sayansi haiwezi kujibu kwa usahihi kuhusu viumbe visivyoenekana mfano UFO, majini, malaika.

Sayansi imeshindwa kutupa majibu kuhusu asili ya uhai, majibu kuhusu muunganiko wa ROHO, nafsi na mwili, kuhusu maisha baada ya kifo, ndoto, laana na mikosi kwa uchache tu hivi.
 
Wewe mwenyewe ullikujaje duniani?

Ikiwa Mungu aliunbwa wewe, wewe mwenyewe uliumbwa na nani?

Huna jipya ndugu, Mungu yupo jana leo na hata milele.

Acha upumbavu
Mkuu unaweza thibitisha kuwa umeumbwa na Mungu? AU kwasababu hujui umetokana na nini basi wewe umeamua kusema ni Mungu baada ya kukosa jibu!
 
Kwa hio kosa Ni wewe kuumbwa mzima?

Jana Kuna jamaa kakatwa mguu na Mamba akiwa mtoni Mamba kaondoka na mguu wake , wapo ambao hawajauona mwaka wengine wameutoa wakiwa kitandani kwa magonjwa kawaida au ulemavu wa kudumu Sasa wewe naona Kuna kitu unakitafuta endelea

Tatizo lenu waumini.. mkiulizwa maswali yenye hoja nzuri.. mnakimbilia vitisho vitisho.

Hizi zama za werevu sio za wajinga wajinga.. jifunzeni kujibu maswali yenye hoja , kwa hoja nzuri ya jibu.. sio vitisho vitisho vya mwaka 47
 
Ndugu yangu mimi nimesoma kuliko wewe na nimefuatilia kuliko wewe amini usiamini Mungu yupo, Nilikua mbishi zaidi yako.

Iko hivi achana na mambo ya maandiko sijuu dini hii sijui ile ila tambua kweli kuwa Mungu yupo, kwaupande wangu baada ya kuwa mbishi na kuchunguza kwa mda mrefu sikumoja ndio nilikaribia kufa Mungu akajifunua kwangu kwanjia ambayo ubishi wote ulihishaa.

Naamini nawewe atajifunua kwako sikumoja nawe utaujua ukweli
 
Utoto wako umeanza kwa kusema Mungu ameumbwa na mwanadamu na nikikuuliza binadamu ametoka wapi au kaletwa na nani?? Si ndo utaniletea hoja za mtoto wa chekechea.
Kushindwa kujua binadamu katokana na nini siyo uthibitishe wa uwepo wa Mungu
 
Wewe kama umeandika makala hii kupata comments au likes sawa ila uwezi pingana na kweli ya Mungu siku akijifunua kwako wewe njoo bila aibu comment na wewe kama sisi na ueleze ukweli
Sio leo umeshiba zako kiporo cha makande the unakuja kuropoka kosa ni mzima unatembea unahema unashida yoyote
 
Kujua kama kuna Mungu wala sio complex issue.
Ipo hivi.. Mungu=Muumba(aliyekuumba wewe, huyo ndiyo Mungu wako)
Labda kama useme wewe haujaumbwa umejileta mwenyewe hapa duniani na wazazi wako uliwaleta wewe hapa duniani, na wazazi wa wazazi wako uliwaleta wewe hapa duniani. Labda ikiwa hivyo unaweza ukasema hakuna Mungu. AHSANTE
Hii ina make sense, kuwa Mungu ni chanzo cha uwepo wako hapa duniani. So mleta mada anaweza kupingwa kama atakata kuwa yeye hana chanzo.
 
Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita; kisha akakaa vyema juu ya enzi. Anayajua yanayo ingia katika ardhi na yanayo toka humo, na yanayo teremka kutoka mbinguni, na yanayo panda humo. Naye yu pamoja nanyi popote mlipo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyaona mnayo yatenda.
 
Back
Top Bottom