Dini iliamini kuwa jua linaizunguka dunia, sayansi ikathibitisha kuwa ni dunia ndio inalizunguka jua...
Watu waliamini kuwa mtu mwenye ukoma kalaaniwa au karogwa, sayansi ikathibitisha kuwa no ugonjwa tu unaosababisha na vimelea.
Unanishauri nisi base kwenye sayansi pekee ambayo iinahusu facts na experiments ,nijikite kwenye elimu za uchawi na Dini ambazo zinahusu mambo ya kufikirika na yasiyothibitishika.
Yani kwenye Dini na uchawi ndio tutaupata ukweli wakati dini hizo ndizo zinazokumbatia uongo?
Post yako inathibitisha madai yangu kuwa imani zote hizo ni zao la uvivu wa kufikiri hivyo mwanadamu anaamua kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu kwake kuyaelezea.