Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
- Thread starter
-
- #301
Hakuna niliyempangia cha kuamini...ila MTU akiniambia kuwa kuna mungu mkuu asiyeshindwa kitu mjuzi wa yote aliumba ulimwengu, Nina uhuru wa kumhoji uthabiti wa madai yake.Atathibitisha kwa kukupa nn zaidi ya hayo yanayokuzunguka? Ww kwann usimthibitishie kuwa imani yake kwa MUNGU ni batili kwa kumpa sababu ya anayoyaona?
HIVI KWANN MNAKAZANA SANA WATU WASIAMINI KUHUSU MUNGU? KUNA MADHARA GANI IWAPO WANAAMINI NA HAYUPO? MNAUTAMANI ULIMWENGU USIO NA HOFU YA MUNGU MTAUMUDU?
Mwili wangu unathibitisha vipi mungu yupo?Nakazia . Ukweli kuhusu Mungu huuwezi kuupata kwenye vitabu tulivyo letewa. Ukitaka kumjua Mungu nitazame mwili wako itazame nature.
Jibu kwanini Jamii kwa lugha zao dunia nzima wanaiita Mungu yaweza kuwa kwa lugha yao lakini ukiileta kwenye tafsiri umaanisha Mungu.Hapa ubishi upo kwenye Nguvu inayo endesha dunia kuitwa jina "Mungu" naona hapa ndio mleta mada anapinga.
Nguvu iliyo anzisha dunia na vyote vilivyomo ndani yake ipo.
Lakini swali na utata unakuja kwa hapa:
Kwa nini hii "Nguvu" ili itwa na kupewa jina Mungu?
Aliyeipa na kuiita hii Nguvu jina "Mungu" ni nani???
Lakini mimi naamini Dunia ilianzishwa na NGUVU fulani na hiyo nguvu ndio ina control kila kitu....Lakini linapokuja swala la hii nguvu kuitwa jina "Mungu" ndio ubishi huanza hapa, Kwa nini iwe jina Mungu na sio jina lingine??.
Kwa hiyo kila mtu (Binadamu) ana namna ya kuamini hii nguvu ki namna yake.wengine huita Mungu, wengine wana amini Sayansi ndio nguvu yenyewe, wengine mizimu/wachawi ndio nguvu yenyewe.. Wengine wana amini kuna nguvu tu ila haina jina...nameless...
Sawa, ww madai yako ni kuwa hakuna MUNGU asiyeshindwa, basi tuambie kuna nini?Hakuna niliyempangia cha kuamini...ila MTU akiniambia kuwa kuna mungu mkuu asiyeshindwa kitu mjuzi wa yote aliumba ulimwengu, Nina uhuru wa kumhoji uthabiti wa madai yake.
Mwili wangu unathibitisha vipi mungu yupo?
Unazidi kuipa nguvu hoja yangu.Laana ni mkusanyiko wa mabaya yote yanayompata mtu: misukosuko katika kazi au ndoa n.k. laana huleta mateso mengi.
Kuachika hovyo,je unafahamu ya kwamba unaweza ukaoana au shirikiana na mtu mwenye mikosi ukashangaa mambo hayaendi au ukishiriki mapenzi na mtu fulani mambo yanaenda.
Thus nimekwambia kuna magonjwa ya kiroho na magonjwa ya kihospitali,kuna tiba za hospital na tiba za kiroho yaani waganga na watumishi wa MUNGU au watu waliopewa karama za uponyaji.
Kama mtu anateseka kwa tatizo na uonekana kimwili lakini wanapima vipimo vyote vya kisayansi tena mitambo ya kisasa kabisa havionyeshi tatizo, kwann isilete shaka. Then mtu huyo akaenda kupata tiba za kiroho nje ya sayansi na akawa mzima kabisa kwann tusiamini kwamba zipo elimu zingine nje ya sayansi.
Mkuu unaweza kututhibitishia ulichoandika hapa nasisi tujue hicho unachokisema?Jibu kwanini Jamii kwa lugha zao dunia nzima wanaiita Mungu yaweza kuwa kwa lugha yao lakini ukiileta kwenye tafsiri umaanisha Mungu.
Mungu ni zaidi ya nguvu iendeshayo dunia,ni zaidi ya sayansi,na uchawi.
Dunia na binadamu ni sehemu tu kiduchu ya uumbaji wa MUNGU. Kuna Eclipse zingine yaani sayari zingine zilizopo nje ya solar system ambayo kwa akili zetu sisi wanadamu hatujazigundua lakini kuna maisha yanaendelea ikiwemo viumbe vingine vikiwemo UFO nk. Na vingine ambavyo wao wapo more advance kuliko binadamu. Mfano tu viumbe vya UFO wao wapo mbele miaka elf 3 kitechnologia zaidi yetu ndege kama jet fighter kwao ni technology waliyotumia miaka elf 3 iliyopita.
Ulimwengu mwingine vitu kama laptop, smartphone, tv nk wao walishapita wapo generation zingine leo tupo 5G wao wapo mbele kwenye generation zingine more advance zaidi. Hizi technology na maendeleo unayoyaona SAsa ni copy kutoka ulimwengu mwingine usioonekana yanakuja duniani kupitia ideas kwa watu maalumu the choosen one mfano wabunifu wa technology hawa utumika kama daraja la kuvusha hizo technology kuja duniani.
Sawa sasa Mungu ni jina au ni Nguvu?Jibu kwanini Jamii kwa lugha zao dunia nzima wanaiita Mungu yaweza kuwa kwa lugha yao lakini ukiileta kwenye tafsiri umaanisha Mungu.
Mungu ni zaidi ya nguvu iendeshayo dunia,ni zaidi ya sayansi,na uchawi.
Dunia na binadamu ni sehemu tu kiduchu ya uumbaji wa MUNGU. Kuna Eclipse zingine yaani sayari zingine zilizopo nje ya solar system ambayo kwa akili zetu sisi wanadamu hatujazigundua lakini kuna maisha yanaendelea ikiwemo viumbe vingine vikiwemo UFO nk. Na vingine ambavyo wao wapo more advance kuliko binadamu. Mfano tu viumbe vya UFO wao wapo mbele miaka elf 3 kitechnologia zaidi yetu ndege kama jet fighter kwao ni technology waliyotumia miaka elf 3 iliyopita.
Ulimwengu mwingine vitu kama laptop, smartphone, tv nk wao walishapita wapo generation zingine leo tupo 5G wao wapo mbele kwenye generation zingine more advance zaidi. Hizi technology na maendeleo unayoyaona SAsa ni copy kutoka ulimwengu mwingine usioonekana yanakuja duniani kupitia ideas kwa watu maalumu the choosen one mfano wabunifu wa technology hawa utumika kama daraja la kuvusha hizo technology kuja duniani.
Reference kwenye science zinaonyedha mambo yanayothibitishika at any time.Kama, umeisoma sana biblia, huitaji kuhoji hivyo maana majibu ya maswali yako yamo katika biblia, imesha sema kwamba mwanadamu huna upeo huo wa kuhoji ya Mungu na Mungu ameamua kukuficha ukasome MUHUBIRI 3:11
Kama huamini biblia au hata quran (maana vyote vinamuelezea Mungu ndio mwanzo na Mwisho) HUNA HAJA YA KUMUAMINI MUNGU.............
Everything needs reference, even science needs reference ..............Kumjua Mungu pia you need reference (Bible + Quran)
Bible has no ERRORS (next time ulete Uzi wa Errors of the Bible, tukupe maelezo)
Pia ninaamini hata wewe wasadiki kwamba Mungu ndiye aliyekuumba ...sema tu unataka ushahidi Evidence.. kwamba ilikuwaje kuwaje (unfortunately umefichwa kuyajua hayo) lets keep on Giving honor to our Creator be it matter or immatter (you have the creator)
Zipo sababu nyingi juu ya tatizo moja ikiwemo hio.Unazidi kuipa nguvu hoja yangu.
Kwanini MTU akiwa anaachika ukimbilie kusema ni laana?
Kwanini MTU asipofanikiwa ukimbilie kusema ni laana?
Sijaona hoja yako hapaSubiri aichukue roho yako ndio utajua Mungu yupo au hayupo
Eneo lipi SAsa maana hapa nimegusa vitu vingiMkuu unaweza kututhibitishia ulichoandika hapa nasisi tujue hicho unachokisema?
Kwa nini kumjua Mungu lazima uwe na reference?Kama, umeisoma sana biblia, huitaji kuhoji hivyo maana majibu ya maswali yako yamo katika biblia, imesha sema kwamba mwanadamu huna upeo huo wa kuhoji ya Mungu na Mungu ameamua kukuficha ukasome MUHUBIRI 3:11
Kama huamini biblia au hata quran (maana vyote vinamuelezea Mungu ndio mwanzo na Mwisho) HUNA HAJA YA KUMUAMINI MUNGU.............
Everything needs reference, even science needs reference ..............Kumjua Mungu pia you need reference (Bible + Quran)
Bible has no ERRORS (next time ulete Uzi wa Errors of the Bible, tukupe maelezo)
Pia ninaamini hata wewe wasadiki kwamba Mungu ndiye aliyekuumba ...sema tu unataka ushahidi Evidence.. kwamba ilikuwaje kuwaje (unfortunately umefichwa kuyajua hayo) lets keep on Giving honor to our Creator be it matter or immatter (you have the creator)
Mungu ni jina lenye nguvu ya utendaji, nguvu ipo ndani ya Mungu.Sawa sasa Mungu ni jina au ni Nguvu?
Ukisema ni nguvu,nani aliyeipa hii nguvu jina Mungu?
Maana hata mimi naweza ipa jina hii nguvu na kuiita Mzimu.
1. Uwepo wa hao viumbe wengine nje ya dunia.Eneo lipi SAsa maana hapa nimegusa vitu vingi
Naku uliza Mungu ni jina au nguvu?Mungu ni jina lenye nguvu ya utendaji, nguvu ipo ndani ya Mungu.
Kama ukiamua kuupa mzimu hadhi ya Mungu hilo ni kwa uamuzi wako, unapozungumzia Mzimu hapo unazungumza kuhusu shetani, ambae nao kwa wengine ni mungu kwao
Hizi elimu ni kubwa ndugu na ni elimu pana sana kwa wanaotaka kujua kuhusu siri za dunia na yanayoendelea duniani nguvu ipi ipo nyuma ya yote yatokeayo.1. Uwepo wa hao viumbe wengine nje ya dunia.
2. Uwepo wa teknolojia ambazo ni kubwa kulko tulizonazo.
3. Teknolojia tulizonazo tumetoa kwa hao viumbe.
Falsafa (arm chair thinking) ikiingia sana kichwani, huwa inampelekea mtu kuona kuwa vilivyopo vyote havipo, halafu vile ambavyo havipo, ndiyo vinaonekana kuwa vipoKijana unatikisa mbuyu umejikuta unatikisa makalio yako mwenyewe.
Hata kama huamini achana na hilo DUDE linaloitwa MUNGU. Lipo nje ya uwezo wako kulielewa.
tafuta muda wa peke yako, uyaangalie mazingira yako milima na mabonde, nyota angani, wanyama, samaki, wadudu, ndege, n.k (angalia usiku na muda wa mchana)
Utaanza taratibu kugundua kuwa kumuamini MUNGU inahitaji kuuvua huo ujuaji wako.
tuliza akili kijana!
Mzimu una nguvu kwako na sio kwa wote.Naku uliza Mungu ni jina au nguvu?
Aliyeipa na kuita hii nguvu jina Mungu ni nani?
Usichanganye swali langu, Mungu ni jina au nguvu?????????
Aliyesema Mungu ni jina lenye nguvu ni nani??
Kwa nini mzimu usiwe jina lenye nguvu???