Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
- Thread starter
- #301
Hakuna niliyempangia cha kuamini...ila MTU akiniambia kuwa kuna mungu mkuu asiyeshindwa kitu mjuzi wa yote aliumba ulimwengu, Nina uhuru wa kumhoji uthabiti wa madai yake.Atathibitisha kwa kukupa nn zaidi ya hayo yanayokuzunguka? Ww kwann usimthibitishie kuwa imani yake kwa MUNGU ni batili kwa kumpa sababu ya anayoyaona?
HIVI KWANN MNAKAZANA SANA WATU WASIAMINI KUHUSU MUNGU? KUNA MADHARA GANI IWAPO WANAAMINI NA HAYUPO? MNAUTAMANI ULIMWENGU USIO NA HOFU YA MUNGU MTAUMUDU?
Mwili wangu unathibitisha vipi mungu yupo?Nakazia . Ukweli kuhusu Mungu huuwezi kuupata kwenye vitabu tulivyo letewa. Ukitaka kumjua Mungu nitazame mwili wako itazame nature.