Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
- Thread starter
-
- #501
Hapana mkuu. Siwezi kutishwa na vitu vya kufikirika.Kwahiyo mtoa mada umekimbia sababu ya vitisho uchwara vya hawa jamaa?
Hapana.Hapana mkuu. Siwezi kutishwa na vitu vya kufikirika.
Nmeamua kuwa msomaji tu baada ya kuona nabishana na watu wapo brainwashed na wengine hawana hoja wanakimbilia kuni attack mimi binafsi. Nmeamua kuwaangalia tu
Sasa si umjibu kwa hoja...hicho umeandika nini?Nimesikitishwa sana na andiko hili kama unadhani Mungu anachunguzika kojoa ukalale.
material world ni illusion ni kwa ajiri ya instruction but are not realFake kivipi?
Ishu ya Mungu ni Uongo... Je ulijiumba mwenyewe!? Mfano maji ni kitu muhimu sana kwa ajili ya uhai wetu.. Je haya maji uliyaleta WEWE(AU KIBURI TU NDUGU YANGU??)
Mfano umekaa vizuri sanaImagine unaambiwa eti umepewa uhuru wa kuchagua halafu ukichagua upande tofauti na mungu unaadhibiwa.Na bado watu wanakubali wana uhuru wa kuchagua!!
Watu kama hao napowaita misukule siwatukani.
Yani mtu ni mwanafunzi wa shule A, Mwalimu mkuu wa hiyo shule anatangaza kuwa kawapa uhuru wa kuchagua kati ya masomo ya sayansi na masomo ya uchumi lakini wajue kuwa atakaechagua masomo ya uchumi atafukuzwa shule!!
kwa anaependa uchumi na hapendi kufukuzwa shule atasema ana uhuru wa kuchagua?
Lakini umeumbwa..? Kama umeumbwa basi yupo Muumbaji.Kutokujua uliumbwa na nani doesn't guarantee kwamba tuliumbwa na mungu.
Ukishindwa kujua wapi kwa kuweka "h" napata mashaka juu ya uwezo wako wa kujadili mada kubwa zaidi.Kama uamini nje ya sayansi utaelewaje
Weka hoja acha kuwa zombinashangaa kwannn hii thread ipo mpaka saiz ,una uzi ,ina tupa makwazo sana
Akifanya hilo jambo nitagDaah kazi IPO mungu sasa fanya jambo waamini kama upo....
Onyesha kuwa simu ninayotumia ku type hapa ni illusion.material world ni illusion ni kwa ajiri ya instruction but are not real
Jambo liko hivi ili ukione wewe ndiyo kichwa mchunga yaani hufikirii juu ya mambo.Imagine unaambiwa eti umepewa uhuru wa kuchagua halafu ukichagua upande tofauti na mungu unaadhibiwa.Na bado watu wanakubali wana uhuru wa kuchagua!!
Watu kama hao napowaita misukule siwatukani.
Ushajua Hilo na wewe ukichagua kinyume lazima ufukuzwe sababu umefanya hiari hali ya kuwa unajua mafikio yake ni wapi. Kijana huna akili, mambo yako wazi namna hii bado unashupaza shingo kwamba hakuna uhuru wa kuchagua ?Yani mtu ni mwanafunzi wa shule A, Mwalimu mkuu wa hiyo shule anatangaza kuwa kawapa uhuru wa kuchagua kati ya masomo ya sayansi na masomo ya uchumi lakini wajue kuwa atakaechagua masomo ya uchumi atafukuzwa shule!!
Afanye mara ngapi ?Akifanya hilo jambo nitag
Ushajua Hilo na wewe ukichagua kinyume lazima ufukuzwe sababu umefanya hiari hali ya kuwa unajua mafikio yake ni wapi. Kijana huna akili, mambo yako wazi namna hii bado unashupaza shingo kwamba hakuna uhuru wa kuchagua ?
ww na iyo simu ni samething,kila kitu kilisha tokea muda mrefu nyumaOnyesha kuwa simu ninayotumia ku type hapa ni illusion.
Uislam bila uongo unakufaJambo liko hivi ili ukione wewe ndiyo kichwa mchunga yaani hufikirii juu ya mambo.
Mola alipo tuumba alitupa akili za kujua baya lipi na zuri lipi, lakini haikutosha akatuletea wajumbe wa kutukumbusha kutokana sisi wenyewe yaani wanaadamu wenzetu. Kisha tukaambiwa ukipenda shukuru ukipenda kufuru ila ukishukuru utapata kadha na kadha na ukikufuru utapata kadha na kadha. Huu ni uhuru kamili tena uhuru ambao uko wazi mno. Maana yake ukitenda wema unatenda kwa hiari yako na ukitenda uovu kadhalika unatenda kwa hiari yako.
Lakini katika hizo njia mbili, Mola wetu akawa ni mwingi wa kusamehe, pale unapokosea ukimuomba msamaha anakusamehe.
Swali la msingi kwanini uchague jambo ambalo ni baya na ushaambiwa ni baya ? Hii ni hiari yako kijana, sisi tutakuuliza kwanini usichague jambo jema na lipo na unaweza kufanya hivyo ? Hii ndiyo maana ya hiari. Wewe unapo zini ni kitu gani kinachokuzuia wewe usizini ?
Sasa hapa msukule ni wewe ambaye unahitimisha juu ya jambo usilo kuwa na Elimu nalo.