Kisai acha kudanganya nakukanyaUshajua Hilo na wewe ukichagua kinyume lazima ufukuzwe sababu umefanya hiari hali ya kuwa unajua mafikio yake ni wapi. Kijana huna akili, mambo yako wazi namna hii bado unashupaza shingo kwamba hakuna uhuru wa kuchagua ?
Nakukanya acha kudanganya ummaUshajua Hilo na wewe ukichagua kinyume lazima ufukuzwe sababu umefanya hiari hali ya kuwa unajua mafikio yake ni wapi. Kijana huna akili, mambo yako wazi namna hii bado unashupaza shingo kwamba hakuna uhuru wa kuchagua ?
Halafu hili Jambo la "evolution" la atheists wengi naona ni kama vile ni lecture kwao yaani wote jibu lenu ni "evolution" au "nature"Mzee usimsingizie Mungu kwenye vitu hivyo vya mwili wa binadamu ni Evolution tuu
Atawadanganya misukule wenzie tu.Nakukanya acha kudanganya umma
Allah kashapanga ata wewe apo inaweza kuwa kashapanga unaenda motoni ata upigize fuvu chini kila siku mara 5 ni kiberiti tu
A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
Onyesha kuwa kila kitu kimeshatokea muda mrefu nyuma na hivi tuvionavyo sasa pamoja na sisi wenyewe ni illusion.ww na iyo simu ni samething,kila kitu kilisha tokea muda mrefu nyuma
wewe unaiona akili yako? Kama unaiona piga picha hapa tuione mana mimi akili yako siioni.Mungu tusiye muona ni sawa na kueleza kitu tusicho kiona. mada imeishia hapo
Akikuletea picha utajuaje kuwa hiyo picha ni ya akili au sio?wewe unaiona akili yako? Kama unaiona piga picha hapa tuione mana mimi akili yako siioni.
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Huu ndio ugunduzi wako, lakini unakinzana na hitimisho lako lenye wino mzito.Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Namba moja inakinzana na ugunduzi wako hapo juu.Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Huyo unayefikiri labda yupo ndio aliumbwa na binadamu? Je, uwepo wa vyote tunavyoviona ikiwemo binadamu, asili yake ni nini?Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Unatakiwa leo ujue,, hakuna kitu kisicho kua na mwanzo kuanzia logically had scientifically,, fuatilia zaidi utagundua science imeshindwa kuthibitisha mwanzo wa ulimwengu huu kuanzia vitu vinavoonekana na visivo onekana,, science imeelezea source ya ulimwengu katika big bang theory kwamba band energy ndio source ya ulimwengu ambayo inasemekana ili explode na kutengeneza hydrogen ges,, hyo hydrogen ika explode kuleta helium ges ambazo ziliendelea kufanya hivo hadi kutengeneza jua Kisha sayar ndo dunia, wanadam na wanyama na kila unachokiona kikatokea...Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Soma vizuri maelezo niliyokupa. Usiruke vipengele.Yani kwenye huo mfano wangu, ni sawa na kusema hivi.
"Ama usome sayansi ama ufukuzwe shule"
Mfano wako si halisi katika muktadha huu. Uhuru wa kuchagua ni uhalisia Sasa jikite katika uhalisia huo. Usitoe mifano mfu ambayo imejifunga sehemu Moja.Sasa vipi kama mimi sipendi masomo ya sayansi na sipendi kufukuzwa shule?
Nikichagua sayansi utasema nimechagua kwasababu ya uhuru wangu wa kuchagua?
Mfano wako si halisi na haina uhakisia. Jadili uhuru wa kuchagua tulio pewa na Mola muumba.Nikichagua sayansi utasema nimechagua kwasababu ya uhuru wangu wa kuchagua?
Unajua nini maana ya uhuru wa kuchagua?
Hapa umethibitisha wazi kwamba najadiliana na mtoto kiakili na kifikrahuendani mkubwa kiumri. Unaweza kuonyesha wapi nimekaribia ya kuwa kulazimishwa mpaka ushikiwe bunduki ? Hili lipo kwako, wangapi wanalazimishwa jambo kwa kauli tu na mfano wake ?Ushakariri kulazimishwa kitu ni mpaka ushikiwe bunduki?
Poa. Sijadiliani na mazwazwa.Uislam bila uongo unakufa
Nani alikwambia mola Allah kakupa hiari?
Allah kapanga kila mtu kwamba atafanya Nini na mwisho wake kashapanga huna uhuru wa kubadili alicho panga
Nenda kasome dini Yako na uache mara moja kudanganya umma
Poa.Nakukanya acha kudanganya umma
Allah kashapanga ata wewe apo inaweza kuwa kashapanga unaenda motoni ata upigize fuvu chini kila siku mara 5 ni kiberiti tu
A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
Poa.Kisai acha kudanganya nakukanya
Ongea ukweli wa dini Yako , Allah amepanga kwa kila mtu ata mtoto mchanga akifa kama alimpangia moto ni moto na habadili
Ndio usirudie tena kudanganya, sema kweli ya dini Yako acha kutunia takiya haitasadiaPoa. Sijadiliani na mazwazwa.
Kingereza kirahisi Sana 😂😂 somaPoa.
Wewe unapofanya uovu huwa unalazimishwa ?