Unajua Mungu aliumbwa na nani?

I have a personal experience kuhusu Mungu. Ukimtafuta ataonekana kwako.
Ametuumba ili tuje tumtafute?

Kwanini hajidhihirishi kwa viumbe wake aliowaumba mwenyewe mpaka tumtafute?
 
Hizo ni fafanuzi za kujazia.
Macho ya rohoni ni uwezo binafsi wa mtu kuona na kujua yaliyo gizani
Tunazidi kwenda mbali....yaliyo gizani ni yapi? Unaweza kutoa uthibitisho?
 
Daah vijana mkishashiba mnaanza kuwaza mambo ya ajabu, kuna vitu vingitu hapa bado hatuna majibu huko sijui unaenda kutafuta nini
 
Huo mfano wa chungu na Mungu vinaendana kweli?
Atleast Chungu tunajua kimetengenezwa na binadamu..pamoja na kuwa kinaweza kupelekwa na mto porini.

Lakini Mungu hata hatuna uhakika kama yupo achilia mbali kama aliumba ulimwengu.
Kama huna uhakika kuwa si MUNGU unahakika kuwa ni nani? MUNGU anatajwa kwa sababu ww usiyetaka atajwe hujasema ni nani aliyefanya haya . Ukitaka watu waseme si MUNGU aliyefanya haya sema aliyeyafanya. Kama hakuna aliyefanya basi MUNGU ataendelea kuwepo hata kama kuna wasiotaka awepo.
 
Sawa mkuu
 
Nani anaweka sukari kwenye muwa!?
Aisee Mungu yupo mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…