Cornwallis
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 940
- 853
- Thread starter
- #201
Tunakufuruje kukisema kitu ambacho hakipo kuwa hakipo?Vijana wa hovyo mkishashiba makande mkashushia na balimi basi mnaanza kuropoka hovyo na kumkufuru muumba wetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunakufuruje kukisema kitu ambacho hakipo kuwa hakipo?Vijana wa hovyo mkishashiba makande mkashushia na balimi basi mnaanza kuropoka hovyo na kumkufuru muumba wetu
Kuna kujadili na kujifunza kijana, tofautisha haya maneno na ujue namna ya kuyatumia. Mjadala ni kwa wenye hoja na kufahamu kile wanachokijadili, Sasa wewe huna sifa za kujadili hii kadhia, sababu hujui yaani unatakiwa uulize maswali ujibiwe na wale wenye kujua.Wewe ulizaliwa unajua kila kitu?
Najadili ili nijifunze.
Kuonyesha kwamba unajua siyo mpaka useme au uandike, Bali namna ya uwasilishaji wako. Hili weka akilini kwanza.Wapi nimesema najua??? Kwanza kitendo cha wewe kuniita mpumbavu nisiyejua, tayari kimeashiria wewe sio mpumbavu na unayejua...sasa kwanini unitukane mimi kuwa najiona najua huku wewe mwenyewe kwa kusema hivyo tu, tayari umeojiona kuwa wewe ndo unajua??
Jitahidi uwe unasoma vizuri kwanza ninacho koandika ili uepuke makosa kama haya uliyo yafanya ya kuchukua nukta moja na kuacha nyingine kadhaa. Ukiangalia sifa anuani za "Nani ?" nilizo zitaja ni zaidi ya Moja, nimesema "Nani ?" ana maarifa, nani anajua, nani ana malengo, nani ana sanifu. Sasa jihukumu mwenyewe Upepo una unasanifu ? Upepo unajua ? Upepo una malengo ? Upepo una maarifa ?Upepo unavuma na kusababisha miti kuanguka, Hapo mtu akiuliza nani kaangusha mti atakuwa sahihi?? Sio kila kitu kinakuwa caused na kitu chenye akili.
DNA haina akili lakini inacode kila kitu kwenye kiumbe.
Mimi sina hakika na chochote kile.Kama huna uhakika kuwa si MUNGU unahakika kuwa ni nani? MUNGU anatajwa kwa sababu ww usiyetaka atajwe hujasema ni nani aliyefanya haya . Ukitaka watu waseme si MUNGU aliyefanya haya sema aliyeyafanya. Kama hakuna aliyefanya basi MUNGU ataendelea kuwepo hata kama kuna wasiotaka awepo.
Yes, na nipo kujifunza ndio maana kila post huu uzi nimeweka swaliKuna kujadili na kujifunza kijana, tofautisha haya maneno na ujue namna ya kuyatumia. Mjadala ni kwa wenye hoja na kufahamu kile wanachokijadili, Sasa wewe huna sifa za kujadili hii kadhia, sababu hujui yaani unatakiwa uulize maswali ujibiwe na wale wenye kujua.
Nakuthibitishia kwa namna tatu.Sawa, Karibu uthibitishe.
Mimi kujionesha najua umesema ni upumbavu, ila wewe unapisema unajua ndiyo hekima sio?Kuonyesha kwamba unajua siyo mpaka useme au uandike, Bali namna ya uwasilishaji wako. Hili weka akilini kwanza.
Sijakutukana bali nimekupa stahiki yako, sisi Waswahili matusi tunawajua Mpumbavu si tusi. Kwahiyo nitake radhi kwa kunizulia uongo.
Hiki ninacho kijadili nakijua, Naam.
Upepo hauna maarifa, kwahiyo kumbe tukikuta mti umeanguka porini hatupaswi kuuliza 'Nani' kauangusha, maana hata upepo usio na maarifa unaweza kuangusha mti.Jitahidi uwe unasoma vizuri kwanza ninacho koandika ili uepuke makosa kama haya uliyo yafanya ya kuchukua nukta moja na kuacha nyingine kadhaa. Ukiangalia sifa anuani za "Nani ?" nilizo zitaja ni zaidi ya Moja, nimesema "Nani ?" ana maarifa, nani anajua, nani ana malengo, nani ana sanifu. Sasa jihukumu mwenyewe Upepo una unasanifu ? Upepo unajua ? Upepo una malengo ? Upepo una maarifa ?
Okay, tukifikaga stage ambayo mnaikataa sayansi iliyothibitika ili kutetea imani zenu huwa ndiyo naishia hapo.Achana na habari za DNA huo ni utoto mwingine ? Ushasema zipo kwenye mwili wa kiumbe ? Tayari kiumbe hicho kina mfumo na hizo DNA mnaziamini nyinyi sababu ni zao la fikra na mtazamo wa mtu. Hili ukitaka tutalijadili.
Vijana muwe mnasoma haya mambo kiundani na myajue.
Swali langu limeenea halijajifunga kwenye Mungu Fulani. Kwahiyo usiulize maswali yasiyo na msingi mbele ya swali la ujumla. Jibu swali nililo kuuliza.Jibu 1. Binadamu anayeamini mungu yupi? Historia ya MUNGU ni tofauti tofauti kulingana na imani za binadamu.
Kuna ambaye anamuongelea MUNGU wa biblia na Quran, yupo anayeongelea mizimu, ng'ombe n.k. Sasa unataka kujua walioanza kumuongelea yupi?
Nakuthibitishia kwa namna tatu.
1. Self evident truth.
2. Mazingira
3. Ufunuo
Self evident Truth
Uwepo wa kitu fulani huonyesha uwepo wa yule aliyesababisha kuwepo kitu husika. Ukiona simu ? Unapata vitu vingapi au unaona nini katika simu hiyo, bila shaka unaona vitu vifuatavyo au utajua vitu vifuatavyo. Yaani yupo msababishaji, mwenye Elimu ya kitu husika, mwenye malengo ya kufanya kitu husika kiwepo yaani kwanini kimekuwepo, ni msanifu mwenye maarifa. Unakubali hili ?
Jibu la swali lako au ithibati ni hii je Ulimwengu umetokea pasi na chochote au umejiumba ?
Naendelea ...
Okay, Mungu yupo...inamaanisha uwepo wake huonyesha uwepo wa yule aliyemsababisha.....Nani alimsababisha Mungu kuwepo???Uwepo wa kitu fulani huonyesha uwepo wa yule aliyesababisha kuwepo kitu husika
Umekisoma vizuri ulicho kiandika ? Usiwasemee wengine sababu ulicho kiandika kimeonyesha hujielewi unahitimisha vipi jambo pasi na Elimu ?Jibu 2. Hatujajua ndo maana bado tumehitimisha yote katika concept ya lazima kuna chanzo cha haya yaliyopo, hicho chanzo ndiye MUNGU. Kama ww una ukweli ulio na uhalisia badala ya kiimani zaidi ya huu tulionao uweke wazi.
Mungu ana nafsi?Tatizo kubwa ni watu kutokujua Mungu ni kitu gani.
Mungu ndiyo asili ya yote (nature).
Siyo kiumbe.
Unaamini Kuna "Infinity Series" ?Okay, Mungu yupo...inamaanisha uwepo wake huonyesha uwepo wa yule aliyemsababisha.....Nani alimsababisha Mungu kuwepo???
Kuna kujionyesha kujua na Kuna kujua na kujua kama unajua. Kijana jifunze maana za maneno na kutofautisha kauli. Sasa unajadiliana vipi na Mimi hali ya kuwa hata kutofautisha maana za maneno hujui ?Mimi kujionesha najua umesema ni upumbavu, ila wewe unapisema unajua ndiyo hekima sio?
Hapa ndipo huwa mnapoteana vijana. Nani amepinga Sayansi ? Mimi naishi katika Sayansi ila kuna ngano na visasili vya Sayansi yaani uongo upo mwingi kuliko ukweli. Kwahiyo wewe Jenga hoja kama unaijua Sayansi.Okay, tukifikaga stage ambayo mnaikataa sayansi iliyothibitika ili kutetea imani zenu huwa ndiyo naishia hapo.
Jibu la swali lako litakujulisha ni nini au nani.Upepo hauna maarifa, kwahiyo kumbe tukikuta mti umeanguka porini hatupaswi kuuliza 'Nani' kauangusha, maana hata upepo usio na maarifa unaweza kuangusha mti.
Sasa kama hajui hapaswi kujadili Bali ana paswa kuuliza.Anatafufa majibu ili ajue
Sababu sayansi haina uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe. Ushawahi kusikia Wanasayansi wametengeneza hata bawa la Mbu ? Si unamjua Mbu ? Sayansi haipo kumpa mtu ukweli huu ndiyo ukweli ulivyo.Wapi nimesema ni " nini"?
Kwanini unadhani lazima ' nani' mwenye maarifa ndio asababishe uhai na so michakato tu ya kisayansi ambayo haijagundulika?