Wapi nimesema kwamba wewe umesema "nini ?"Wapi nimesema ni " nini"?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi nimesema kwamba wewe umesema "nini ?"Wapi nimesema ni " nini"?
Inna Lilah waina ilaih ragiunMimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Marehemu aliishia chekechea,Inna Lilah waina ilaih ragiun
Msiba mkubwa huu ndugu yng
Ndiyo infinity series zipo.Unaamini Kuna "Infinity Series" ?
Ulianza kwa kusema sheria kali sijui uliitolea wapi, kwamba kila kilichopo lazima kina chanzo, nkakwambia Mungu yupo ina maana ana chanzo??Kila kitu kina chanzo isipokuwa Mola pekee,
Hapo nilipopabold ukipathibitisha, itasaidia sana hata kutetea hoja yako ya juu..sababu hakuna kinachofanya awepo aliyefanya kuwepo kwa kila kitu, haya yatakuwa ni matumizi mabaya ya akili na kufikiria kitoto.
Kitendo cha kusema mimi najua tayari ni kujionesha unajua.Kuna kujionyesha kujua na Kuna kujua na kujua kama unajua. Kijana jifunze maana za maneno na kutofautisha kauli. Sasa unajadiliana vipi na Mimi hali ya kuwa hata kutofautisha maana za maneno hujui ?
Mie namwelewa kabisa, kama kweli wewe ni mfuatiliaji na ukasema ukweli lazima ukubali jamaa anaongea kitu reasonable, mmefundishwa mungu na mzungu hata miaka 200 haijapita lakini dunia ipo millions of years, babu zako walikuwa wanaamini nini kabla ya mungu wa mzungu na mwarabu, ukristo na uislam ni dini ambazo wafrica mnazijua kwa sababu ya kutawaliwa na wakoloni na hakuna sababu nyingine yeyote, ukienda sehemu nyingine kama Asia ambako kuna watu wengi kuliko hata Africa kule wanaamini mungu tofauti kabisa mnavyojua, idea ya mungu ni creation ya mwanadamu tuu hata babu zetu walikuwa na mungu wao ambaye ni tofauti na huyu tuliyeletewa na mzunguKijana unatikisa mbuyu umejikuta unatikisa makalio yako mwenyewe.
Hata kama huamini achana na hilo DUDE linaloitwa MUNGU. Lipo nje ya uwezo wako kulielewa.
tafuta muda wa peke yako, uyaangalie mazingira yako milima na mabonde, nyota angani, wanyama, samaki, wadudu, ndege, n.k (angalia usiku na muda wa mchana)
Utaanza taratibu kugundua kuwa kumuamini MUNGU inahitaji kuuvua huo ujuaji wako.
tuliza akili kijana!
Kila mtu ana mpaka wake, mimi nishajiwekea mpaka kuwa siwezi kupoteza muda wangu kubishana na watu wanaopinga sayansi.Hapa ndipo huwa mnapoteana vijana. Nani amepinga Sayansi ? Mimi naishi katika Sayansi ila kuna ngano na visasili vya Sayansi yaani uongo upo mwingi kuliko ukweli. Kwahiyo wewe Jenga hoja kama unaijua Sayansi.
Mtu kama wewe unaonyesha wazi kabisa huijui Sayansi ndiyo unasema vitu vimethibitishwa na Sayansi. Wewe tu mfano mdogo unao ushahidi wa Kisayansi unaonyesha ya kuwa Dunia inazunguka katika Muhimili wake ? Yaani kwa kutumia zile hatua za ithibati za Kisayansi ? Jibu sahihi hakuna, Sasa kwanini unaamini ya kuwa Dunia inazunguka ?
Sasa acheni uoga vijana tunawasaidia kufikiria kwa usahihi.
Ahaa kumbe jibu linaweza kuwa nini au nani.Jibu la swali lako litakujulisha ni nini au nani.
Mpaka leo hakuna mtu aliyethibitisha Mungu yupo.
Kwanini unanihoji kuelezea kitu ambacho sijakitolea madai?Wapi nimesema kwamba wewe umesema "nini ?
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.
Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"
Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?
Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.
Kwanini nimefikia hitimisho hilo?
Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.
Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.
1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.
2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.
Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.
Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.
Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.
Nawasilisha.
Hivyo unaamini kwa kuogopa kuitwa mpumbavu? Kama yupo kwanini aniache niwe mpumbavu na mwingine awe mwelewa? Unaweza kuthibitisha kuwa yupo?Mpumbavu tu ndiye anaweza sema Mungu hayupo
Niambie ni wapi tutaupata ukweli.Mtu anaejifungia kwenye box la elimu moja tu ya sayansi pekee Ili kupata majibu ya hoja zake huwa kajifunga kwenye ufahamu.
Utadhani sayansi pekee ndio jawabu la KILA kitu
Zipo elimu nyingi tu nje ya sayansi zenye uwezo wa kutoa majibu ambayo sayansi imeshindwa kutupa.Niambie ni wapi tutaupata ukweli.
Unajua kuwa hii post yako inathibitisha madai yangu kuwa dhana ya mungu inasababishwa na uvivu wa kufikiri?Isa 40:28 SUV
Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, BWANA, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
Wewe endelea kumchunguza Mungu uone kama utaweza
Haina haja ya kutaka kujua kaumbwa au hakuumbwa. Ninavyojua Mimi na kuamini yeye ni WA milele na hakuumbwa inatosha
Kumbukumbu la Torati 29:29 (KJV)
Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele, ili tuyafanye maneno yote ya sheria hii.