Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Unajua Mungu aliumbwa na nani?

Sasa na yeye Mungu kwanini ajiweke complex hivo? Kwann asirahisishie maisha viumbe wake kama mtoa mada ili wamwelewe kiwepesi.
Nakupa mtihani mwepesi, usiku wa leo toka nje kisha tazama anga halafu zingatia macho yako yatacover kiasi gani katika ukubwa wa mbingu halafu geuka nyuma tizama mbingu bado inaendelea na huwezi kuidhibiti kwa macho yako, ukilijua hilo basi tambua aliyeiumba hiyo mbingu ana haki zaidi ya kuwa mkubwa na mtukufu.

"....na ninyi hamtomuona mola wenu mpaka mfe {kwanza}.." hadithi sahihi.

Unachopaswa kujua mkuu ni kwamba hadhi, cheo, utukufu na mamlaka aliyonayo muumba wetu ni makubwa sana na ya kiwango kisicho na mfano kwa viumbe vyake, na huku kutokumuona wala kumjua sasa hivi ndio salama yetu kwani lau angejidhihirisha tumuone basi tungeangamia sote kutokana na ukali wa nuru yake.

"hayamdiriki yeye macho{kumzunguka} na yeye anayadiriki macho, na yeye ndiye mwenye kuyajua ya ndani zaidi, mtambuzi wa habari"

Quran 6:103
 
Nakupa mtihani mwepesi, usiku wa leo toka nje kisha tazama anga halafu zingatia macho yako yatacover kiasi gani katika ukubwa mbingu halafu geuka nyuma tizama mbingu bado inaendelea na huwezi kuidhibiti kwa macho yako, ukilijua hilo basi tambua aliyeiumba hiyo mbingu ana haki zaidi ya kuwa mkubwa na mtukufu.

"....na ninyi hamtomuona mola wenu mpaka mfe {kwanza}.." hadithi sahihi.

Unachopaswa kujua mkuu ni kwamba hadhi, cheo, utukufu na mamlaka aliyonayo muumba wetu ni makubwa sana na ya kiwango kisicho na mfano kwa viumbe vyake, na huku kutokumuona wala kumjua sasa hivi ndio salama yetu kwani lau angejidhihirisha tumuone basi tungeangamia sote kutokana na ukali wa nuru yake.

"hayamdiriki yeye macho{kumzunguka} na yeye anayadiriki macho, na yeye kuyajua ya ndani zaidi, mtambuzi wa habari"

Quran 6:103
Mbingu ndio nini??
 
Kwani kipindi cha manabii na mitume hizo mashine za figo zilikuepo?
 
Mbingu ndio nini??
1080x2340-Background-HD-Wallpaper-216.jpg
 
Thibitisha kua hio ni mbingu?
Mzee unadhani kila mtu anaishi kwa shemeji kama wewe? yaani nipoteze muda wangu kukuthibitishia kuwa wewe ni cha asubuhi, like seriously? nyie vijana falsafa zinawaharibu sana na sijui mnatoa wapi ujasiri wa aina hii.

Na mnapojificha ni hapo kwenye upuuzi wa thibitisha thibitisha, yaani nikuthibitishie kuwa wewe ni mwafrika na unajiona mwenyewe kwenye kioo ulivyo mweusi tii na pua kubwa ya kibantu, mkuu sina muda wa kupoteza wewe kama unaona hiyo picha ni ya mtoto wa mbuzi, fine.
 
Mmbwa wewe hata watu wanaomtumikia shetani wanaijua nguvu ya Mungu.jua kwamba Kila kisemwacho kipo na Kama hakipo basi kinakuja,swali lako halina mwisho ukishamjua aliemuumba Mungu hutoishia kuuliza hapo utataka kujua aliemuumba Mungu kaumbwa na nani so Mungu ni mmoja hazeeki Wala hafi yeye Yuko Jana leo na hata kesho,uwezo wake hakuna wakulinganisha.jina lake lisujudiwe na Kila kionekanacho.
 
Mzee unadhani kila mtu anaishi kwa shemeji kama wewe? yaani nipoteze muda wangu kukuthibitishia kuwa wewe ni cha asubuhi, like seriously? nyie vijana falsafa zinawaharibu sana na sijui mnatoa wapi ujasiri wa aina hii.

Na mnapojificha ni hapo kwenye upuuzi wa thibitisha thibitisha, yaani nikuthibitishie kama wewe ni mwafrika na unajiona mwenyewe kwenye kioo ulivyo mweusi tii na pua kubwa ya kibantu, mkuu sina muda wa kupoteza wewe kama unaona hiyo picha ni ya mtoto wa mbuzi, fine.
Jaribu kutumia single sentence inayoanalyse full chapter...
 
Mzee unadhani kila mtu anaishi kwa shemeji kama wewe? yaani nipoteze muda wangu kukuthibitishia kuwa wewe ni cha asubuhi, like seriously? nyie vijana falsafa zinawaharibu sana na sijui mnatoa wapi ujasiri wa aina hii.

Na mnapojificha ni hapo kwenye upuuzi wa thibitisha thibitisha, yaani nikuthibitishie kuwa wewe ni mwafrika na unajiona mwenyewe kwenye kioo ulivyo mweusi tii na pua kubwa ya kibantu, mkuu sina muda wa kupoteza wewe kama unaona hiyo picha ni ya mtoto wa mbuzi, fine.
Naweza kukudhibitisha kwa watu kua wewe ni Kazakh wa ngurumo na sio Kazakh wa masaki[emoji1]....
 
Unajua maana ya Falsafa; kwanza labda turudi huko. Falsafa ni nini, by definition?
Mimi mkuu sikupingi, nataka nijifunze kutoka kwako kwa mifano.
Kwahyo usiniulize maswali maana siijui falsafa..wewe nielezee tu.
 
Mmbwa wewe hata watu wanaomtumikia shetani wanaijua nguvu ya Mungu.jua kwamba Kila kisemwacho kipo na Kama hakipo basi kinakuja,swali lako halina mwisho ukishamjua aliemuumba Mungu hutoishia kuuliza hapo utataka kujua aliemuumba Mungu kaumbwa na nani so Mungu ni mmoja hazeeki Wala hafi yeye Yuko Jana leo na hata kesho,uwezo wake hakuna wakulinganisha.jina lake lisujudiwe na Kila kionekanacho.
Kwahio mungu anafanana na mbwa... kwanini umuite binadam mwenzio mbwa? Mungu wenu anafundisha upendo kweli?
 
Najua Eeh Mungu hiki kiumbe umekisamehe mpaka sasa kwa sababu bado unakihitaji! 😢 Kihurumie!
 
Mimi ni kijana ambaye Kwa muda wa miaka 2 nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali hapa Jf katika jukwaa hili la intelligence. Moja ya mijadala ambayo imekuwa ikinivutia sana ni hii ya dhana ya uwepo wa Mungu.

Swali kubwa ambalo nimeku wa nikijiuliza ni " Mungu alitoka wapi"

Baada ya kuisoma sana biblia na Quran pamoja na kuwahoji viongozi mbalimbali wa dini, hatimaye nikapata jibu la swali lililonitatiza muda mrefu, Mungu alitoka wapi?

Nimegundua kuwa muumba wa Mungu ni mwanadamu. Yes mwanadamu kama Mimi na wewe ndiye aliyemuumba Mungu.

Kwanini nimefikia hitimisho hilo?

Vitabu tunavyoaminishwa kuwa ni vya Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu ( biblia & Quran) ni vitabu vyenye makosa mengi sana ya kimantiki na habari nyingi zenye utata, jambo ambalo tusingetegemea liwepo katika kitabu kilichoandikwa kwa muongozo kutoka kwa Mungu mkuu mwenye uwezo asiyeshindwa na kitu.

Uwepo wa habari hizo zenye utata zinadhihirisha moja kati ya mambo yafuatayo.

1. Mungu hana ukuu tunaoambiwa ndio sababu ameshindwa kutoa mwongonzo mzuri katika kuandika kitabu kisicho na makosa ya kimatinki.

2. Habari hizi ni zao la fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za giza na ujinga. Mwanadamu ambae alitaka kutafuta majibu mepesi katika maswali magumu yaliyomzunguka ndio sababu zina utata.

Kama jibu ni 1 basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo Bali aliyepo ni dhaifu na mbabaishaji aliyeshindwa kuandika vizuri kitabu kinachomuelezea yeye mwenyewe.

Kama jibu ni 2 ,basi Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu hayupo ndiyo sababu akatokea mtu akatunga habari kutokana na fikra zake mwenyewe. Angekuepo asingeruhusu magepu katika fikra za mwanadamu ambayo yamepelekea mwanadamu huyo kujitungia majibu mepesi na habari zenye utata ili kuziba hayo magepu katika fikra zake.

Pointi zote mbili utaona zinaonyesha kuwa Mungu mkuu asiyeshindwa na kitu mjuzi wa yote hayupo Bali " ama aliyepo ni dhaifu,mbabaishaji na asiye na uelewa wowote kuhusu ulimwengu, ama dhana nzima ni hadithi ya kutungwa katika fikra za mwanadamu aliyeishi katika zama za ujinga na kukosa access ya taarifa mbalimbali.

Nawasilisha.

Kwa jinsi nilivyotishwa utotoni nilikua najua mtu akitenda dhambi tu anakufa! Kwahiyo nilikua najua baba yangu na mama yangu ni watakatifu ndiyo maana wako hai! Nilijua adhabu ya kumkosea Mungu ni kifo tu kama ambavyo ulimkosea binadam au serikali inakuadhibu!

Baadae nimekuja kuambiwa watu wema hufa haraka kwasabu wamekwishatimiza kusudi la Mungu ila wale wabaya wameachwa ili watubu na kuacha kumkosea Mungu!

Kuna mkanganyiko sana!
Mungu katuumba ili tuje tumsifu na kumtetea pale anapoonewa! Unaweza kuota ndugu yako lakini hiezi kuota umemuona Mungu yaan haji hata ndotoni isipokua mawazo yako yanakufanya umihisi tu ukiwa macho
 
Reference kwenye science zinaonyedha mambo yanayothibitishika at any time.

Nikikuuliza una ushahidi gani kuwa kilichoandikwa kwenye vitabu vya dini ni maneno kweli ya mungu na so habari za watu tu ambazo umezikuta na kuaminishwa utaweza?
Ndio maana mwanzoni, kabisa nilisema if you don't believe in the WORD , then you shouldn't bother yourself believing in GOD , because GOD is WORD , john 1:1 In the beginning there was the Word and the Word was with God, and the Word was GOD.............
Namna pekee ya KUMJUA MUNGU nikupitia neno la MUNGU there is no any other way....HATA MIUJIZA ya kukuaminisha umuamini Mungu ingeanza kwa kuliamini NENO

SASA neno la Mungu linanifunga kwamba........mwanadamu amefichwa hawezi kumjua Mungu kamwe muhubiri 3:11

If you don't believe in WORD , theN we need to CONCLUDE THAT there is No GOD..

NO WORD, NO GOD, NO GOD NO WORD

I know you BELIEVE IN GOD, someday when you are in trouble you can call your God he is for you....
 
Kwa nini kumjua Mungu lazima uwe na reference?

Kwa nini tulifichwa kumjua Mungu?
Aliyetuficha ni yeye mwenyewe huyo Mungu au ni nani?

Au ni maandiko yako ya kidini (Biblia & Quran) yamekufunza kwamba tumefichwa kumjua Mungu?
Exactly reference ambayo ni Word of GOD ndio imenifanya niamini kwamba....Mungu hajataka tujue .......
Tofauti ya mimi na wewe , wewe huamini NENO ndio Maana Huamini MUNGU , mimi NAAMINI neno NDIO maana naamini Mungu

GOD IS WORD na WORD is GOD, I
John 1:1 , in the beginning there was the WORD and the Word was with God and the WORD was GOD...


IMANI ni kusadiki bila kuthibitisha bila kuona so ukiona neno ... ndio tafsiri YA imani inatosha huitaji kuthibitisha neno la MUNGU

NO FAITH, NO GOD, NO WORD , NO GOD
 
Bado tunarudi palepale....ninachokifanya mimi ninahoji uthabiti wa dhana ya uwepo wa mungu, wewe unanilazimisha nijue kwanza jibu la ulimwengu ulitoka wapi ndio nihoji uthabiti wa dhana ya mungu.

Unaniuliza 11×11 ni ngapi nakwambia sijui, unaniambia jibu ni 121.
Je nakosea nikikuhoji kuwa hiyo 121 umeipata vipi kwasababu tu sijui jibu LA 11× 11 ni ngapi?
"wewe unanilazimisha nijue kwanza jibu la ulimwengu ulitoka wapi ndio nihoji uthabiti wa dhana ya mungu"

☝️☝️☝️ hiyo quote hapo juu kama kuna sehemu yyte nimeongea hivyo naomba ushahidi uuweke hapa kama hauna inaonesha jinsi gani unaruka ruka na points bila mpangilio .

Kingine kama katika hiyo post uliyoi quote ungesoma point namba moja imekujibu vizuri sana ila inaonekana umei abandon kama unavyo abandon maswali yangu mengi tu ISHU NI WEWE KULETA COUNTER POINTS ZA KUWEZA KUMSHAWISHI MTU ILI AACHANE NA MAWAZO YA KUAMINI MUNGU YUPO hilo ni moja na KWA KUMBUKUMBU ZANGU HAUJAFANYA HIVYO MPAKA SASA.

Kingine msomi mzuri ni yule anayetamani kudadisi na kujua kitu kiundani (kwa yale yanayoelezeka )
Sasa hauwezi kuja kuniuliza MFANO MAPIGO YA MOYO YANA ORIGINATE WAPI NIKAKWAMBIA SIJUI HALAFU NIKAISHIA KUBAKI SIJUI NI LAZIMA NIKIULIZE WEWE SASA ULIYEULIZA SWALI KWAMBA YANATOKEA WAPI NIKITARAJI MAELEZO MAZURI ILI NIPATE KUELEWA .

SO jibu langu ni ndiyo ni lazima nijue hiyi 121 umeipata pataje .
 
Ni uhalisia au wazo lako wewe na watu wa hesabu ? Naomba uthibitishe kama kuna Infinity series na uniambie nini maana yake hasa ?

Hakuna "Infinity Series" katika uhalisia.
Haina mwisho, yani always kuna namba kubwa zaidi mbele...Mfano hizi namba 1, 2, 3, 4 hazina mwisho...Maana hata ukisema ya mwisho ni 100000000000000000000000000000000000 mimi ntakuambia ongezea moja hapo na bado itaendelea tu.
Siyo vitu Bali ni Mola pekee kuwepo kwake hakuhitaji chanzo sababu hajawahi kutokuwepo yeye yupo. Sasa chanzo Cha kila kitu kinahitaji vipi kuwa na chanzo ?
Unaweza kuthibitisha hili?? Maana umeweka claim isiyo na ushahidi wowote...Na hiyo claim mwenyewe naweza kusema kwa ulimwengu pia, Kuwa ulimwengu hahuhitaji chanzo kwakuwa haujawahi kutokuwepo.
Taka vitu viwili ambavyo ambavyo having chanzo na utuonyeshe imekuwaje vikawepo na ututhibitishie.
Cha kwanza ni mungu, Haya wewe unaweza kuthibitisha imekuwaje akawepo bila chanzo??
 
Nimecheki sana, Sasa kama una hoja za Kisayansi uziweke hapa uone kama napinga Sayansi. Shida yenu mnapenda stori za Wanasayansi na Maigizo Yao, sisi tunahoji na kitafiti. Mimi naishi katika Sayansi ila ujinga na utoto sipendi.

Wewe mimi nakupa miaka mia uje uthibitishe ya kuwa Dunia inazunguka.

Kazi yangu nimemaliza.

Shukrani.
Siwezi kupoteza ATP zangu kujadili hizi mada, nenda katafute walugaluga huko mimi sina huo muda wa kubishana na wanaoipinga sayansi.
Shukrani.
 
mungu ni mkubwa kuliko chochote na lolote na yeyote ishi kwa imani kwa kuangalia mifano halisi ya ukuu wake. kama binadamu ni mungu mbona ukifa hurudi ndo ntoleee
 
Back
Top Bottom